kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mola kwa kunipa nguvu na uwezo mpaka leo ni nzima wa afya.
Imebidi niandike haya machache baada ya wengi kushangaa mbona nimekua kimya sana?
Mgogoro wa Iran ulianza pale bei ya mafuta ilipoongezeka mara asilimia kadhaa kutoka 150 mpaka 300.
Kupanda huku kuliwaudhi wananchi wengi sana wa Iran na wakaamua kuanzisha maandamano ya amani.
Kwanza kabisa nchini Iran maandamano ni jambo linaloruhusiwa hata Ayatollah khamenei kiongozi mkuu anaamini maandamano ni njia ya kuwasilisha jambo na kwani ndo yalifanya kupatikana kwa mapinduzi ya Kiislam ya Iran.
Kilichotokea ni nini?
Huwa ni kawaida maandamano yakitokea Iran serikali hutuma maafisa wa wizara husika kuchukua malalamiko ya waandamanaji.
Na hua ipo hivyo siku zote serikali huyafanyia kazi.
Sasa maandamano yalikua ya amani kabisa hapo ndo nchi za kieneo kama Saudia, Zionist regime, na pia Marekani na Uingereza na kikundi cha MKO kinachochukia serikali kupenyeza mamluki khamenei kiongozi mkuu anaamini maandamano ni njia ya kuwasilisha jambo na kwani ndo yalifanya kupatikana kwa mapinduzi ya Kiislam ya Iran.

Sasa maandamano yalikua ya amani kabisa hapo ndo nchi za kieneo kama Saudia,zionist regime,na pia Marekani na Uingereza pamoja kikundi cha MKO kilivyotumia nafasi hiyo kama fursa kwao kuivuruga Iran.
Walivuruga kivipi?
Kupenyeza mamluki kwenye maandamano ya amani ambao waligeuza maandamano kuwa fujo kwa kuchoma majengo na kuua waandamanaji wenzio ili kutibua hasira za wananchi na kuleta uchonganishi kati ya wananchi na serikali.
Na wakafanikiwa juu ya hilo
Wananchi walivyoona watu wa mwanzo kwenye maandamano wameauawa walijua kabisa ni serikali kumbe siyo hapo wakaanza kukiwasha kisawa sawa vurugu mwanzo mwisho na serikali nayo kupitia maafisa usalama wafanyaje wakati tayari wanaona watu wakiharibu miundo mbinu kila kitu ikabidi watumie nguvu lakin hayo yote yanachochewa na genge la mawakala waliojipenyeza kwenye maandamano.
Serikali baada ya kushtukia mchezo wa mabeberu ikabid wazime internet
Kinachoendelea sasa ni;
Sasa hivi wananchi wengi wamekwisha shtukia mchezo wa US,Israel,Saudia,na MKO
Wameanza maandamano tena ya kuunga mkono serikali na kukataa fujo huku bado maandamano ya kupinga serikali yameanza kuisha nguvu kwa sehemu nyingi
Ipi hatma ya Iran baada ya haya maandamano?
Je, utawala wa Iran utaanguka?
Jibu ni hapana, hiyo ni ndoto za mchana; maandamano ni kawaida Iran kama zilivyo zote za dunia watu wa Iran wanajielewa mno na msitarajie serikali ya Iran kuanguka haitoanguka kamwe.
Mark my word, haya maandamano ni ya mpito tu yatapita na maisha yataendelea kama kawa.