KIMONDO CHA IPIGA URUSI, SIMU ZA ZIMA, WATU WAPANiC.

KIMONDO CHA IPIGA URUSI, SIMU ZA ZIMA, WATU WAPANiC.

hiki kimwondo kingeangukia middle east, jamaa wangekua very busy kukiabudu kama kawaida yao

attachment.php

Huku kwetu Ushoga ni haramu ndugu yetu, wewe vipi?
 
Natambua uwepo wa teknolijia na wala siwezi kukinzana na hilo...pia kama ungekuwa ni mfuatiliaji wa habari za Magharibi na ulimwengu wa kwanza kwa ujumla, ungetambua namna zilivyoghubikwa na propaganda za Ki-Illuminati.

Wenzetu wana technologia mbele zaidi kwahiyo swala la picha lisikushangaze mkuu.
 
Back
Top Bottom