Kimombo na Sms

jrmlaurence

Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
80
Reaction score
57
Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa na kizungu chake cha kubabaisha, hivyo maneno ya mwisho hakuelewa maana yake lkn akahisi litakuwa neno la kimahaba,kusudi aonekane mjanja akajibu, "some text missing too dear"
 
ASante na wewe hongera kwa uhodari wa ku............paste
 

sawa sawa na ile jamaa kaambiwa happy birthday akajibu the same to you
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…