Kweli mkuu Afu yule Prof alikuwa na tabia flan hv ukikaa mbele anauliza swali afu anakupa mic ujibu so one day akamuuliza mshikaji do you have notochord??? kwa ile lafudhi yake Jamaa kwa ujasiri na sauti akasema YES but I leave at MABIBO kilichofuata mkuu unaelewa kabisaKwi kwi kwii...Hapo mkuu ndio utaona tofauti ya kimombo cha teacher wa kimatumbi na mzugu.
Ha ha haaa...inafurahisha sana ndugu huo ndio uhalisia wenyewe.Kweli mkuu Afu yule Prof alikuwa na tabia flan hv ukikaa mbele anauliza swali afu anakupa mic ujibu so one day akamuuliza mshikaji do you have notochord??? kwa ile lafudhi yake Jamaa kwa ujasiri na sauti akasema YES but I leave at MABIBO kilichofuata mkuu unaelewa kabisa
Uzuri wa hawa watu wanajua kiingereza sio lugha yako so wanakusikilza kwa makini na hawakucheki bali hukutia moyo tofauti na sisi tunaochekanaMe si mwalimu ila kazini kuna wazungu wa kwa malkia. Accent yao ngumu bora Americans! Akija offisin kuongea anavyoteleza ile lafudhi yao huelewi yani me ni pardon Pardon haziishi!
Yah ni kweli rafiki...tatizo sisi ndo twajifanya kumcheka na kumdhihaki mtu anayebangaliza kimombo na ndio maana watu wengi wanaishia kukata tamaa kuendeleza jitihada za kuzungumza kimombo. Sentensi yako moja tu ya kiingereza itazua post lukuki ktk mitandao ya kijamii bila kusahau JF. Na watu wanaweza tamani kukukwapua kadigree kako, inabidi ujivishe vazi la uzalendo tu kwa kuzungumza kiswahli na kuchomekea misamiati ya kimombo.Uzuri wa hawa watu wanajua kiingereza sio lugha yako so wanakusikilza kwa makini na hawakucheki bali hukutia moyo tofauti na sisi tunaochekana
Huo ni ukweli, hata hapa Jf, chapia kiingereza uone utakavyobezwa?!Uzuri wa hawa watu wanajua kiingereza sio lugha yako so wanakusikilza kwa makini na hawakucheki bali hukutia moyo tofauti na sisi tunaochekana
Fantastic...vijana inabidi wajifunze kupitia uzi huu kuwa ung'eng'e ambao wengi wawatambia wenzao Bongo ukikumbana na baadhi ya wazungu au ukienda mamtoni utakuwa kila wakati sorry...sorry...unaomba warejee maneno na wewe unapojaribu kuzungumza hawakuelewi kabisa kuonesha matamshi yako ni tofauti kabisa na kimombo halisi...Experience yangu ni opposite. Mara ya kwanza nimetia mguu kwa Trump najitambulisha darasani hakuna mtu ananielewa utafikiri naongea Kisukuma. Nikajaribu kuongea pole pole ndiyo njemba zinaniuliza "You are from Taiwan?" Nikaitamka Tanzania kwa uangalifu jamaa hazielewi basi nikaamua kutumia mifano ya Mlima Kilimanjaro na Serengeti + "Hakuna Matata" kuwa ni Kiswahili na ni lugha yetu ya Tanzania ndo nikaona vichwa vinatikiswa. Kuingia darasani Prof mmoja mashuhuri sana wa Economics aisee simwelewi kabisa. Lafudhi yao ajabu ajabu. Jioni hiyo binti mmoja Mzungu akaja kuniongelesha basi nikamganda nikamwambia awe ananisemesha mara kwa mara ili nizoee lafudhi yao. Miezi sita ya mwanzo was hell mpaka nilitamani kupanda ndege kurudi Misungwi. Mpaka leo huwa naamini kwamba siye tuko majiniazi aisee kwani kuweza kusoma na kufaulu kwa lugha ambayo hatuielewi sawasawa (Kiingereza) siyo kazi rahisi jamani.
Uwe makini mkuu, usije shangaa unasema Panado!Me si mwalimu ila kazini kuna wazungu wa kwa malkia. Accent yao ngumu bora Americans! Akija offisin kuongea anavyoteleza ile lafudhi yao huelewi yani me ni pardon Pardon haziishi!
Kimombo halisi ni kipi mkuu? Uzuri/ubaya ni kwamba kwa sasa Kiingereza tunaweza kusema kuwa ni lugha "isiyo na mwenyewe" kwa sababu kila mmoja ana lafudhi yake haijalishi kama lafudhi yenyewe inatambuliwa kuwa ndiyo rasmi ama la! Ni wazi kuwa viingereza rasmi vya Uingereza, Marekani, Australia, New Zealand, Afrika Kusini, India, huku kwetu Afrika Mashariki, Wanigeria kule na kwingineko ni tofauti mno na pengine hakuna haja ya kuchekana. Kinachotatanisha kwetu sisi ni hii sera yetu ya ajabu ya elimu ya kufundishia ambayo inamwacha mtoto njia panda akiwa siyo mbobezi wa Kiswahili au Kiingereza.Fantastic...vijana inabidi wajifunze kupitia uzi huu kuwa ung'eng'e ambao wengi wawatambia wenzao Bongo ukikumbana na baadhi ya wazungu au ukienda mamtoni utakuwa kila wakati sorry...sorry...unaomba warejee maneno na wewe unapojaribu kuzungumza hawakuelewi kabisa kuonesha matamshi yako ni tofauti kabisa na kimombo halisi...
mkuu we endelea kuchokoza watu tu usije kuomba msaada wa M7On behalf of my self
Experience yangu ni opposite. Mara ya kwanza nimetia mguu kwa Trump najitambulisha darasani hakuna mtu ananielewa utafikiri naongea Kisukuma. Nikajaribu kuongea pole pole ndiyo njemba zinaniuliza "You are from Taiwan?" Nikaitamka Tanzania kwa uangalifu jamaa hazielewi basi nikaamua kutumia mifano ya Mlima Kilimanjaro na Serengeti + "Hakuna Matata" kuwa ni Kiswahili na ni lugha yetu ya Tanzania ndo nikaona vichwa vinatikiswa. Kuingia darasani Prof mmoja mashuhuri sana wa Economics aisee simwelewi kabisa. Lafudhi yao ajabu ajabu. Jioni hiyo binti mmoja Mzungu akaja kuniongelesha basi nikamganda nikamwambia awe ananisemesha mara kwa mara ili nizoee lafudhi yao. Miezi sita ya mwanzo was hell mpaka nilitamani kupanda ndege kurudi Misungwi. Mpaka leo huwa naamini kwamba siye tuko majiniazi aisee kwani kuweza kusoma na kufaulu kwa lugha ambayo hatuielewi sawasawa (Kiingereza) siyo kazi rahisi jamani.