Kimini cha nesi...dah! Leo nimepatikana.

Kimini cha nesi...dah! Leo nimepatikana.

Aiseee atakuwa anahonga hadi nauli pale.

Ile mitaa hatari sana kuna siku kidogo nigongwe na bajaj wakati nikiwa napiga kiwi ya macho...isingekuwa honi ya bajaj ningehadhirika kibabu mimi...
 
Mkuu utakutana na bidhaa mpya kila siku, halafu wengine wametupia sijui ndio mnaviita vimini, wengine wamevaa nguo za wadogo zao yaani ilimradi vurugu tu...

Kaka huku mtaani kwangu kwa muha muuza inswa hayo makitu hayasumbui kabisa! Nikija mujini ntaa-adapt kama biology yangu ya f'3 enzi za waziri wa elimu la profeseri Kapuya inavyosema.
Habaki mtu hapa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom