Kimini cha kitenge kitaniua mwenzenu

Kimini cha kitenge kitaniua mwenzenu

Ugojwa huo hata mimi naumwa aiseee. Ukikuta mtoto usafiri unakubali weeeeee! Lazima nigande.
 
Mi kwenye vinguo navyopenda kwa wadada kitenge hakipo...
 
kimini uwe na mguu....subiri ukute mtu anatembelea mikono....

sikubali kamwe kupitwa na fasheni kisa miguu. Mimi kwa kweli ni mkaskazini asilia - ninatembelea tuthpik lakini vimini na mimi, mimi na vimini. suruali kukiwa na baridi. mie kichwani kwangu najua nimependeza, sasa kama kuna watakaoangalia miguu wanakaribishwa. ndo yangu tena hiyo, aipende nani zaidi yangu?
 
Safi sana na siku zote usikubali kuishi maisha ya watu
 
sikubali kamwe kupitwa na fasheni kisa miguu. Mimi kwa kweli ni mkaskazini asilia - ninatembelea tuthpik lakini vimini na mimi, mimi na vimini. suruali kukiwa na baridi. mie kichwani kwangu najua nimependeza, sasa kama kuna watakaoangalia miguu wanakaribishwa. ndo yangu tena hiyo, aipende nani zaidi yangu?

mmmh!!! sikupatii picha ungekua nao sasa huo mguu wa bia...
 
mweli wanapendeza. mi pia napenda wadada wanaivaa suti za maofini lakini mini. Basi ukute ana mguu, inaleta raha kwa kweli.
 
Sasa huyo akivaa mini si utamfuata mpaka anakoishia...suruali zina asavali...

mkuu suruwali na zenyewe zina matatizo, kuna mama mmoja jirani yangu hapa anapenda sana kuvaa suruwali, tena za kitambaa zenye kuachia mwili, lakini vipago vinaonekana tu aisee mtu akitembea havifichiki, tena vilivyofichwa partially ndiyo vinananogaje!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom