Kimini cha kitenge kitaniua mwenzenu

Kimini cha kitenge kitaniua mwenzenu

mdesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
1,373
Reaction score
2,251
Siwezi siwezi! nimejitahidi kujivunga nimeshindwa, kila nikimuona ke amevaa kigauni mini cha kitenge, kinachombana kiasi lol! moyo wangu huenda mbio. Inapendeza jamani wadada.

Siyo unakuta ke kavaa suruali jinsi mpauko af chini bwanga, chini kalikanyaga hadi limetoboka aagh!
 
Jana nimemuona dada nayemfahamu kavaa mini ya kitenge...hata mimi nimemkubali...
Kwanza sijawahi kumuona amevaa sketi; it was the first time kwangu...
Ana usafiri wa nguvu; na kile kimini acha kabisaa....!
Suruali tunazipenda sababu zinapunguza attention...si kila mara tunataka kushangawa...hasa tukiwa kwenye serious business...
 
mwanaume akimuona mwanamke aliyevaa nguo nzuri ya heshima kichwani kwake anafikiri ‘mke wangu akiwa anavaa hivi, itakuwa raha sana!!'

nikikuona umevaa kinguo tu nnachofikiria kichwani kwangu ni kukugegeda japo kwa usiku mmoja
 
Sasa moyo unakwenda mbio kwa style gani? au kwa furha tuu uone halafu basi aende?yani unafurahisha mathoo!!!:cool2:
 
Mkuu,usithubutu kuhamia DRC,Ivory Coast,Senegal au Burundi "utafwariki kwa kweri"(laughing).
 
picha jamani, PICHAAA! wengine hatujawahi kuona kabsaa!
 
Jana nimemuona dada nayemfahamu kavaa mini ya kitenge...hata mimi nimemkubali...
Kwanza sijawahi kumuona amevaa sketi; it was the first time kwangu...
Ana usafiri wa nguvu; na kile kimini acha kabisaa....!
Suruali tunazipenda sababu zinapunguza attention...si kila mara tunataka kushangawa...hasa tukiwa kwenye serious business...

mkuu suruwali na zenyewe zina matatizo, kuna mama mmoja jirani yangu hapa anapenda sana kuvaa suruwali, tena za kitambaa zenye kuachia mwili, lakini vipago vinaonekana tu aisee mtu akitembea havifichiki, tena vilivyofichwa partially ndiyo vinananogaje!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom