Kimeumana: Wazee wa Simba SC hawamtaki Mwina Kaduguda

Naongelea timu yenye hela kushindwa kumiliki studio yake ya kurusha matangazo ya TV mubashara na badala yake inakwenda kuomba msaada kwa studio ya jirani.

Kubali tu ni pangu pakavu tia mchuzi tutakuelewa.
That's y Kuna kitu inaitwa specialization.....huwezi kuwa master wa kumiliki Kila ktu
 
#Wazee wa klabu ya Simba hawamtaki aliyewahi kuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mhina Kaduguda baada ya kusema Fred na Jobe ni wachezaji ambao unaweza kuwapata Tandika na Mwananyamala.
Video : Ayoma TV

MAKOLOoooooooooooooooooo ni wendo wa kuvurugana
Walianza hawamtaki Boko ....kocha zoran...... robertinho..... mangungu......try again.....Leo hawamtaki kaduguda ....

Guess who's next????????View attachment 2943228
Huyu ni pimbi tu, aliwahi kununua chapati za wachezaji kule Zanzibar za tsh 36k akaja kuzidai kwenye kikao akarudishiwa pesa na team. Mtu wa ivi hata akiniambia 2+2=4 sitamuamini
 
Hao wazee wajinga tu, Kaduguda amesema kweli waache unafiki wao.

Wachezaji wazuri kila siku wanaachwa, wabovu kila siku wanaongezewa mikataba mipya licha ya uzee wao.
 
Makapuku ya utopolo hayo..hawana kadi za uanachama, hawawez kununua jezi, hawawezi kutoa viingilio , wako vijiweni tu wanaropoka hadi mimate inawatoka
Acha hasira mkuu.....tafuta pesa
...life is very simple
 
Huyu ni pimbi tu, aliwahi kununua chapati za wachezaji kule Zanzibar za tsh 36k akaja kuzidai kwenye kikao akarudishiwa pesa na team. Mtu wa ivi hata akiniambia 2+2=4 sitamuamini
Mkuu .... alikuwa na haki kudai ....pesa yake ...

According to workers compensation act .....inadai kama umetumia pesa Yako Kwa mazingira ya kazi ya mwajili ..... you have to be refunded
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom