Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Nimeikuta instagram kwenye page ya politikstz

Kwa maelezo yake anadai Resty kajiwish birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto,mapenzi ni bambam alafu akajisahau akakoment kutumia account hiyohiyo akisema asante mume wangu badala ya kutumia account yenye jina lake!Yani in short kajiwish mwenyewe na akajijibu mwenyewe!

View attachment 1962386


Resty ndio nani?
 
Yani nimeangalia hyo video nimejikuta namuonea huruma huyo mwanaume daaah. Halafu watu waka mutee wanashangaa tuu
 
Kwa kweli binamu. Wengine hawataki kupostiwa wanajua utawaharibia makoloni yao. Nakumbuka kuna rafiki yangu alimposti babe kwenye status; weee wacha jamaa awake eti ooh "nyumbani kwetu wakijua itakuwaje, ni familia ya dini sana". Best akamwambia huko home kwenu hakuna anayenijua wala kuwa na namba yangu. Basi muda sio mrefu best alifanikiwa kuwajua wake wenzie wengi tu teh
Wanaume walivyo malaya weee ni halali wasipende
 
Back
Top Bottom