Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Mimi mwenyewe sipendi kupost wangu sio kwamba naogopa hapana acha tu awe malaya account yangu ni personal sana.
Tunatofautiana ila msihalalishe eti ooh hawapendi kupostiwa tujuane tabia tu kama ni mali ya jamii sawa
 
Kwa kweli binamu. Wengine hawataki kupostiwa wanajua utawaharibia makoloni yao. Nakumbuka kuna rafiki yangu alimposti babe kwenye status; weee wacha jamaa awake eti ooh "nyumbani kwetu wakijua itakuwaje, ni familia ya dini sana". Best akamwambia huko home kwenu hakuna anayenijua wala kuwa na namba yangu. Basi muda sio mrefu best alifanikiwa kuwajua wake wenzie wengi tu teh
Mimi Mara ya mwisho kuposti picha yangu mtandaoni 2015 since then sijawahi posti sehumu yeyote Wala Sina mzuka huo
 
Wanawake msiwe wanene sana

Mnaona mwenzenu ni mzuri wa sura ila unene unamfanya a loose confidence Hadi kutaka kukimbizana na watu mitandaoni
Ila Resty ana sura nzuri sana. Sema amenepa sana mpk amevimba matamvua kama samaki sasa akipiga picha ya karibu ndo utamuona vzr. But she is beutiful,I like her smile though.
 
Zamani nilipost sana,ila tangu Magufuli aisee nimezifuta picha na sipost naingia tu kuona yanayoendelea,nadhani unavyokua na Mambo yanabadilika ule huyo Resty yeye ndo kama anaanza upya.
Lazima afanye hivyo sababu Instagram ni biashara kwake. Anapata hela nyingi Sana kupitia instagram, anatumia Ile platform kuuza bidhaa zake.
 
Back
Top Bottom