Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

Yale mazoezi aliyokuwa anafanya anakimbiza nyama zake sijui yameishia wapi maana ndio amezidi kuwa voluminous.

These people wanatakiwa wapumzike kujiweka mitandaoni, after all sio celebrity kihivyo ni muuza kitimoto na vipodozi vya kujichubua ngozi labda na papuchi aliyokuwa anauza zamani sasa hivi haina ishu tena.

She is sick, hayo Mambo anapaswa kufanya mwanae maana ana mtoto mkubwa sasa siku sio nyingi tunaanza kumparamka kama Paula
Anamashauzi mpaka anakera, mie nililazimika kumpa block insta baada ya kuchoshwa na mashauzi yake
 
🎵Nakupost nawe uje kucomment Kwani wabongo si unawajua Watasema hunitaki Eeh Wapambe nuksi tusije wapa nafasi Kwan wanataka niharibia Isonone yangu nafsi..🎵🎵🎵
 
Back
Top Bottom