Wasomi wameamua kutumia taaluma zao kupata kipato, Mawakala tunateseka

Wasomi wameamua kutumia taaluma zao kupata kipato, Mawakala tunateseka

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,759
Reaction score
16,176
Wakati vijana wenye elimu walipokuwa wakikosa ajira na kuhangaika kutafuta fursa za kujipatia kipato, baadhi ya watu waliwadhihaki badala ya kuwaunga mkono. Sasa vijana wameamua kutumia taaluma na ujuzi wao kujitafutia riziki kwa njia mbalimbali. Hii inaonyesha umuhimu wa kuthamini juhudi za vijana na kutambua kuwa kila kazi halali ina thamani yake.

IMG_20261018_085259.jpg
 
Muamala unakuja na jina la mpesa, tigo pesa na pesa unaiona, kumbe hakuna muamala uliofanyika.

Bahati mbaya wakala haangalii jumla ya salio, yeye anaangalia ile pesa ya Muamala uliofanyika tuu hvy n rahisi kupigwa
Hakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money
 
Hakuna kitu kama hcho......apo lazima mteja alishika simu ya wakala na akasevu namba kwa jina la mpesa, au Airtel money
weee ndio hujui mzee usiseme hakuna kitu kama hicho.
nawez kukutukia sms na ikabebw jina lolote nitakalo..so ni umakini wa mpokeaji kujua fake na halisi ni ipi.

Huduma za bulk sms hizo nachagua jina lolote la Sender Id..
CRDK, SIMBANKING, M-PESA,....
 
Back
Top Bottom