Hii ndiyo sala ya mwisho iliyobaki ya magamba, kuombea upinzani usambaratike. CCM is brain dead!!!!kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !
Ukawa ni janga sugu la wazawa.
Propaganda za kitaahira hizi. Vijana wa CCM hii ajira yenu isiyo rasmi ya buku 7 kwa siku naona inaendelea kuwatindua ubongo kila kukicha!kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !
Nilidhani kimenuka kweli, kumbe ni maoni yako! Hata hivyo habari ya mujini ni ufisadi wa ESCROW ACCOUNT !!!... Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu !..
kwanza niseme Takwimu na maelekezo waliyonayo chadema katika wilaya 3 nilizofika ni dhahiri ukawa haipo kwa ubinafsi tu wa chadema, tayari nccr na cuf wamekubaliana katika maeneo mengi , mfano Arusha mjini chadema hawataki ushirikiano wa ukawa, hapa serengeti katibu Chacha Antony anasema hata makubaliano hayatambui ! Na ni fake ! Wakati nccr wanataka vitongoji 2 tu kati ya 23 vya hapa mjini, cuf wanataka 6 tu na chadema watapata 14 , na kwa sasa chadema wana kiti 1 tu, cuf wana vitongoji 4, na nccr hawana ! Mie nafikiri ni muhimu sasa kwa CUF Na NCCR Kuendelea na ushirikiano na hawa tuwaachie watz watawahukumu ! Mbaya zaidi arusha hawataki ushirikiano, hapa serengeti wanataka waachiwe viti 21 pamoja na 3 kati ya 4 vya CUF ! Sitaki kubeza hatua za mazungumzo kwenye ngazi ya Taifa kuhusu kuokoa jahazi ila watz bado wanataka umoja ! NCCR na CUF Tutatosha hawo waachieni waweke mgombea kila mtaa, kijiji na kitongoji !
propaganda za kitaahira hizi. Vijana wa ccm hii ajira yenu isiyo rasmi ya buku 7 kwa siku naona inaendelea kuwatindua ubongo kila kukicha!