Waende machinga complex. Ni muhimu kuwa na nchi iliyopangika. Sio mko baa mnakula nyama choma na kiti cha pili mwingine ananunua viatu na wa numa yake anapaka rangi kucha za miguu michafuuu! Wasitumie nguvu lakini wasafishe mji!
nasikia ni maandalizi ya obama bibi. wanasema kama atapitia ubungo vile?. eti hawataki aone zile t'shirt zake zimetundikwa kwenye mianzi juu ya lile daraja la mto kibangu.