Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 103
CCM Vs Waislam. Patachimbika!
kwa nini govt imeshikia bango SENSA?mbona hakuna majibu ya why turn out ya voters 2010 ilikua ndogo sana?HAPA KUNA SIRI
Heshima wadau,muda huu nimepita Central Polisi na nimeona umati wa waislam na askari polisi wako attention na mabomu ya machozi nilishindwa kujua kunani cos nilikuwa na call ya kwenye tower nitarudi nipate habari kamali niilete jamvini
Kama hujui kinachoendelea kwanini unasema kimenuka...
Nenda kamuulize promota mwenzake Obama anakuwa na updates za mambo ya nchi hususani security issues kila baada ya dakika Sita lakini promota Ana updates za diamond anakopigia show zakeKama hujui kinachoendelea kwanini unasema kimenuka...