respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,557
- 3,835
ukiendelea na pumba zako lazima nikukosoe tu hapa sio sehemu za pumba peleka huko Fb
swissme
Unajua maana ya kukosoa?? Explain hapa!
BACK TANGANYIKA
ukiendelea na pumba zako lazima nikukosoe tu hapa sio sehemu za pumba peleka huko Fb
swissme
Mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao kwa ajili ya kutafakari hatua ya serikali kuzifungia kampuni zao kwa maana hiyo wamewaita wanachama wao wote hali itakayosababisha wateja wao kuikosa huduma yao kwa siku ya kesho.
Swissme hii democracy ndio iliyotufikisha hapa..Acha udikteta utumike labda utatunyoosha!!!!ni mtu mjinga kama wewe unayimwa haki yako ndani ya nchini yako na kutokuwa na democracy.funguka Dada yangu.
swissme
Teh teh teh..yaani mgomvi wako unayeshitakiana naye anakwambia umpelekee ushahidi utapeleka?bora wangesema wapeleke mahakamani...maana kuna mawakala walikuwa wanalipa TPA wanapokea pesa wanaruhusu mzigo kisha wana reverse transaction ...sasa aloiba hapo ni agent au staff? Yataibuka mengi sana...Hawa jamaa waache kupiga kelele,waliambiwa na TPA wapeleke vielelezo je walipeleka?
Kama imethibitishwa wamelipa hiyo pesa imeenda wapi? Maana kisa cha kuwasimamisha ni kuwa pesa imeonekana haijalipwa...wapigaji wa TPA na TRA ndo wamekula...wasitafute mchawi nje wakati wanaye ndani..Kampuni 127 zimelipia tayari au kuthibitisha kwa ushahidi kuwa walilipa na hivyo wameruhusiwa kuendelea na kazi.
Bakhersa, METL na Cargo Star wamesafishwa kuwa majina yao yalichapishwa kimakosa.
Lakini pia TAFFA na wamekubaliana na serikali kuunda tume kuchunguza kwa kina nini kilitokea ili kuziba mianya ya ukwepaji kama huo kwa siku zijazo. Benki, TPA na TRA zitachunguzwa pia.
Dawa ya deni ni kulipa walipe waendelee na kazi.Mbona mawakala 127 kati ya 210 wamesharuhusiwa, baada ya kulipa madeni.
Yaibuke tu,ikiwezekana waende mahakaman ila kwa sasa wao ndo wameonekana wakosaj,mahakama itawasafisha!!!Teh teh teh..yaani mgomvi wako unayeshitakiana naye anakwambia umpelekee ushahidi utapeleka?bora wangesema wapeleke mahakamani...maana kuna mawakala walikuwa wanalipa TPA wanapokea pesa wanaruhusu mzigo kisha wana reverse transaction ...sasa aloiba hapo ni agent au staff? Yataibuka mengi sana...
Ni ujinga kuwa na watu wenye mawazo kama yako, labda nikukumbushe wakati ule wa mgomo wa Madaktari serikali ilijifanya mbabe na kutamka kuwa itatumia wanajeshi kutibu wagonjwa pale Muhimbili kilichotokea hakielezeki kwa vifo vilikuwa maradufu hivyo kuliangalia suala hili katika mawazo mfu kama ya kwako tutarajie madhara makubwa kwa nchi hususani katika suala la uchumi.We waache tu
Wakijaribu wataisoma namba kikwelikweli!
Over!
Bora tu wafunge turudishe NASACO yetu, kwa upigaji huu hili ni shamba ya babu
Wanajipotezea muda tu kama wanategemea wataweza kuichimba biti serikali iyafungulie yale makumpuni 210 bila ya kupeleka risiti zao TRA.
Teh Teh....Serikali ilishawahi kukunyima fursa???
daa bora umeliona hilo, umbeya umbeya na kurukia mada na wengine hawajui mawakala kazi zao ni nini na wamefungiwa kwa lipi, uhalali wa kuwafungia ni upi na anayetakiwa kulipa ni nani, hawajui hawajui , ni ujinga ujinga na kukurupukaHata hao waliofungiwa ni wazalendo kuliko wewe .
Tatizo hamlijui mnarukia mada tu
Hwa wanadai walilipa na wengine risiti wanazo ila wanadai kuna mchezo katikati ulichezwa na wajanja .baadae wakabambikiwa wao .
Iv kwa sasa watanzania kufanya vikao vyao ni tatizo ?
Kwa mfano waalimu wakiwa na madai yao na wakakutana ni tatizo .?kuna vitoto vinaumbya humu jf
unajua kinachoendelea?Dawa ya deni ni kulipa walipe waendelee na kazi.
Wenzako wanaenda kati wewe unaenda pembeni, subiri hapo kama fisi ukidhani mkono utaanguka!Hili ni li awamu la kukurupuka kurupuka, magufuli atashindwa very soon, apunguze dharau na kujiona anajua kilakitu, jiulize kipi kilochoshusha mapato mwez january From 1.5 to 1 trillion
Kusema hawa ni wezi ni stereotype au sawa na kusema (mfano) 'wachaga wote ni wezi' au 'wafipa wote ni wachawi', 'wahaya wote ni malaya' nk nk.Walipe under protest then waende kortini haki itendeke. Wengi wao ni vimeo hawa. Hata mtu akiagiza kigari chakavu kwa vihela vya kubangaiza lazima wakuingize mjini. Wanasingizia TRA. Wajuzi sana kufoji invoice ya aina yoyote.
Kitu ambacho kinaniacha na maswali, ni kwa nini wasiende bank walikolipa awali kuprove payment zao kama TPA wanasema hawakulipa? Nadhani ni haki yao kupata documents bank kama wateja wao. Bank wanakumbukumbu za miaka kumi ya nyuma na hilo lipo kisheria.
Wewe utakua jipuHili ni li awamu la kukurupuka kurupuka, magufuli atashindwa very soon, apunguze dharau na kujiona anajua kilakitu, jiulize kipi kilochoshusha mapato mwez january From 1.5 to 1 trillion