Kimenuka: Mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,908
2,889
Mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao kwa ajili ya kutafakari hatua ya serikali kuzifungia kampuni zao kwa maana hiyo wamewaita wanachama wao wote hali itakayosababisha wateja wao kuikosa huduma yao kwa siku ya kesho.
 
mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao kwaajili ya kutafakari hatua ya serikali kuzifungia kampuni zao kwa maana hiyo wamewaita wanachama wao wote hali itakayosababisha wateja wao kuikosa huduma yao kwa siku ya kesho
Bakhressa Food Production na METL nao watakua kwenye huo mkutano????
 
Bora tu wafungue makampuni mengine wao sio kama wafanyabiashara wa kawaida kwamba watafunga maduka. Labda hata wale ambao hawakufungiwa wagome otherwise wanapoteza mda
 
Wanajipotezea muda tu kama wanategemea wataweza kuichimba biti serikali iyafungulie yale makumpuni 210 bila ya kupeleka risiti zao TRA.
 
Mawakala wa forodha wengi ni wapiga dili, sasa ni bora wakubali makosa yao walipe wanachodaiwa waombe msamaha twende mbele. Hakuna asiyewajua hawa jamaa kuwa wapiga dili. Awamu ya kupiga dili imepita, kila mtu aishi kwa kazi halali na alipe kodi tujenge Tanzania mpya. Kila kampuni ijitetee kwa makosa yake. Halafu utakuta hata ile kampuni ya Bakhresa nayo inaenda kwenye mkutano, na ile ya Home Shopping wanaiita GSM. Zama za kucheza na serikali zimepita
 
Ni mtu mjinga pekee atakayejaribu kuichimba kibesi serikali..!!

Kwa kumbukumbu tu, Hii siyo serikali ya Dhaifu Mr kuchekacheka. Atakayeleta fyoko atabomolewa.!! Ujinga wa kuitisha serikali umepitwa na wakati

BACK TANGANYIKA
We waache tu

Wakijaribu wataisoma namba kikwelikweli!

Over!
 
Bora tu wafungue makampuni mengine wao sio kama wafanyabiashara wa kawaida kwamba watafunga maduka. Labda hata wale ambao hawakufungiwa wagome otherwise wanapoteza mda
Kufungua kampuni mpya na kupata sifa zote sio jambo dogo
 
Kuna Vijana Tunaweza Anzisha Makampuni hayo tuuu nyie zireni fresh tuu serikali itoe Fursa kwa wazalendo tupige kazi na hela juu
 
mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao kwaajili ya kutafakari hatua ya serikali kuzifungia kampuni zao kwa maana hiyo wamewaita wanachama wao wote hali itakayosababisha wateja wao kuikosa huduma yao kwa siku ya kesho

Mbona mawakala 127 kati ya 210 wamesharuhusiwa, baada ya kulipa madeni.
 
Ukiona mtu analalamika ujue huyo naye alikuwa jipu. Magufuli ana kazi hii nchi imejaa majipu, hawa nao lilikuwa jipu sugu. Kanyaga twende mr president watanyooka tu
 
kama wewe ni msukule wa Nape mimi sijui.nachojua ni kwamba lazima ccm hiwape watanzania democracy na kuvitawala mali zao wewe nyang'au mpambe wa kufunga viatu wanaume mimi sijui.


swissme
Kampeni zishaisha boss...sas hvi watu wanafanya kazi tu..kama foroza wamezngua wachkuliwe hatua za kisheria wakileta fyoko sheria ifate mkondo wako..sas hvi hatuitaji porojo,kampeni mpaka 2020
 
Tutawabomoa kama wanataka kutukwamisha.
Hili ni li awamu la kukurupuka kurupuka, magufuli atashindwa very soon, apunguze dharau na kujiona anajua kilakitu, jiulize kipi kilochoshusha mapato mwez january From 1.5 to 1 trillion
 
Back
Top Bottom