Kimenuka Mandela road

Kimenuka Mandela road

hips.com

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
344
Reaction score
91
Jamani mmeiona foleni Mandela road.hakufai yani haisogei michepuko ya magari nayo imeshika hatamu malori tu ndo yamebaki njia kuu.shidaaaaaaa
 
Jamani mmeiona foleni Mandela road.hakufai yani haisogei michepuko ya magari nayo imeshika hatamu malori tu ndo yamebaki njia kuu.shidaaaaaaa
La ahsante ngoja niendelee kula JF hadi saa 2 !
 
Acha kurusha watu roho wewe! Unaelewa maana ya "KIMENUKA? Tumieni misamiati vizuri.
 
Ndio maana hayo madogo mengi hupata ajali (ukimwi) kwa kutotaka kubaki njia kuu......
 
ipo wapi hiyo mandela road?maana watu wa jf wanadhani wote tunaishi dar tanzania!
Ha ha ha ha!!! Nimeipenda hii??? Is Dar es Salaam's famous road!!!!! Tumesahau JF is worldwide forum!!! Na hata kuna Kenyan Forum kabisa!!! Welcome!!
 
ni noma mkuu ucjaribu kupita huku ukielekea bgrn au temeke
 
Nipo hapa kwenye foleni karibu masaa mawili kutoka riverside ubungo ndo sasa hivi nakaribia mataa ya buguruni.So sad!
 
Kwa kweli foleni za Dar zinaweza kukuzeesha mtu kabla ya wakati wako!
 
SERVER IS CRY.. SHIT. Eti kimenuka.
 
Tulieni vijana, hayo ndo maisha bora kwa kila Mtanzania.
 
Jamani mmeiona foleni Mandela road.hakufai yani haisogei michepuko ya magari nayo imeshika hatamu malori tu ndo yamebaki njia kuu.shidaaaaaaa

Mi nikajua watu wanajamba jamba hovyo, we wakuja nini Dar? mbona foleni ni kawaida sana kwa jiji la Dar
 
Back
Top Bottom