omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,700
Hawa watu japo wapo hapa kwa gt lakini upeo wao unafukuzana na wajumbe wa bunge la katiba kutoka ssm na misimamo yao huku watu wakifuata maoni!ipo wapi hiyo mandela road?maana watu wa jf wanadhani wote tunaishi dar tanzania!