Kimenuka ! Godless Lema kuunguruma Ukonga .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,666
218,169
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Lema , leo ataungana na watanzania wenzake wa Jimbo la Ukonga kupinga Usaliti duniani .

Karibu sana ili uje upate ladha mpya , leo ni KATA YA CHANIKA
Instagram media - BnOC7vuhsNC.jpg
Tukutane ukonga kata ya Chanika, mtaa wa nguvu uwanja wa shule..jpg
 
Subirini tena kushindwa tena Ukonga kama kule Dodoma ili mje na sababu za kijinga tena!!
Tangu uchaguzi mkuu 2015 chadema haijawahi kushindwa na ccm katika jambo lolote !
 
Msije kutuambia uchaguzi haukuwa huru na haki.Haki ya kuunguruma mmeipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom