KIMENUKA DAR: Wananchi Kinondoni wafunga Barabara ya Kawawa eneo la Mkwajuni kupinga Bomoabomoa

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,007
2,445
Nipo ndani ya daladala ambayo imebadili njia kwa ajili kuna watu wanachoma matairi barabarani huko mbele.

======
UPDATES:

Wakazi wa Kinondoni wafunga barabara ya Kawawa eneo la Mkwajuni wakipinga #bomoabomoa ya nyumba zao!

Mkw2.jpg


Mk1.jpg


Mkw3.jpg


 
Wananchi wa bonde la Mkwajuni Kinondoni wamefunga barabara ya Kawawa. Wanachoma matairi na kujaza magogo barabarani. Kama kuna mtu anakwenda Kinondoni kutokea Magomeni ama anakwenda Magomeni kutokea Kinondoni asitumie barabara ya Kawawa (kwa wenye magari).
9ae4315ccc047517d2dd7599bbf958b3.jpg
f01e115f520d51f1859b9c026073abe3.jpg
 
Gari limebabadili njia. Nasikia tu huko wapo watu wanasema wako tayari kufa,hawataki kuonewa. Yote ni hear say. Sijui kinachoendelea
 
Hizi hasira na chuki wanazopandikiza kwa watu, kuna siku ikulu na maeneo nyeti ya serikali yatalipuliwa na wananchi wano onewa kila siku.
 
watoke tu mabondeni, kwakuwa hakuna namna ya kukwepa gharama za mafuriko zaidi ya kuondoka hizo sehemu hatarishi... maana mafuriko yakitokea wanaanza kuililia serikali...
 
Tatizo bomoa bomoa inayo endelea mkwajuni wananchi wamechoma matairi wamefunga barabara kupinga ubomoaji huo.
 
Back
Top Bottom