PreGE2025 Kimenuka CHADEMA kaskazini: Viongozi walioweka saini waraka wa G55 kuitwa kuthibitisha, watakaobainika kukisaliti chama hatua kali kuchukuliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Snapins.ai_489348276_18473088508071244_5766210385791823647_n_1080.jpg

TAARIFA KWA UMΜΑ
Uongozi wa Kanda ya Kaskazini unawataarifu wanachama na umma kwa ujumla kuwa, viongozi wote wa Kanda hii ambao wanadaiwa kuweka saini kwenye waraka (petition) wataitwa kwa haraka ili;

1. Kuthibitisha kama kweli saini zilizowekwa ni zao, na kama walihusika moja kwa moja kwenye maandalizi au usambazaji wa petition hiyo.

2. Kufafanua dhamira yao, ikiwa ni kweli wanapendekeza mwelekeo tofauti na msimamo wa chama.

Baada ya hatua hizo kukamilika, chama kitapitia kwa kina maelezo na uthibitisho utakaotolewa, na hatimaye kitatoa msimamo rasmi kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa dhidi ya wahusika, kulingana na taratibu na maadili ya chama.

Tukijiridhisha kuwepo kwa USALITI na njama za kukisaliti chama, hatutasita kuchukua hatua kali za Kikatiba na Kikanuni dhidi ya wote watakaobainika kuhusika.

Tunawasihi wanachama wote kuendelea kuwa watulivu na waaminifu kwa chama wakati mchakato huu ukiendelea.

Imetolewa leo na;
Samwel Welwel
Mwenyekiti - Kanda ya Kaskazini

Pia soma: Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA. Wapinga chama kususia uchaguzi mkuu
 
View attachment 3294924

Mwenyekiti - Kanda ya Kaskazini​
Tunasafisha Chama
 
Hivi ndo chama kinavyofanya kazi, hamuwezi chezea watu akili hapa, kwenye kikao msitoe maoni msubiri wakati watu wanafanya kazi mnakuja na waraka tena. Mnatia huzuni sana nyie!! Kukosa msimamo ni jambo baya sana kwa mwanasiasa
 
The political party we needed is this one, huku fimbo, kule fimbo, katikati fimbo, DADADADEKI,
YAAAAAAANI NA HIVI TUMEAMBIWA KESHO NI MASHATI DAY, HAPA TULIPO MAMBO NI BUL BUL
JAMANI NIPO HAPA BMM OPPOSITE NA TRA MWENGE
Kanda ya Pwani tuko stay tuned tuuone mkwaju tuwaone wenye viranga
 
Hivi ndo chama kinavyofanya kazi, hamuwezi chezea watu akili hapa, kwenye kikao msitoe maoni msubiri wakati watu wanafanya kazi mnakuja na waraka tena. Mnatia huzuni sana nyie!! Kukosa msimamo ni jambo baya sana kwa mwanasiasa
Kuna watu utasikia wameliwa vichwa
 
Kuna watu utasikia wameliwa vichwa
Inatakiwa ifanyike mapema sana kabla ya muda wa kuchukua fomu za ubunge haujafika maana hawa Wana tamaa sana. Yani ikifika j5 inatakiwa hawa tuwe tumemalizana nao
 
View attachment 3294924
TAARIFA KWA UMΜΑ
Uongozi wa Kanda ya Kaskazini unawataarifu wanachama na umma kwa ujumla kuwa, viongozi wote wa Kanda hii ambao wanadaiwa kuweka saini kwenye waraka (petition) wataitwa kwa haraka ili;

1. Kuthibitisha kama kweli saini zilizowekwa ni zao, na kama walihusika moja kwa moja kwenye maandalizi au usambazaji wa petition hiyo.

2. Kufafanua dhamira yao, ikiwa ni kweli wanapendekeza mwelekeo tofauti na msimamo wa chama.

Baada ya hatua hizo kukamilika, chama kitapitia kwa kina maelezo na uthibitisho utakaotolewa, na hatimaye kitatoa msimamo rasmi kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa dhidi ya wahusika, kulingana na taratibu na maadili ya chama.

Tukijiridhisha kuwepo kwa USALITI na njama za kukisaliti chama, hatutasita kuchukua hatua kali za Kikatiba na Kikanuni dhidi ya wote watakaobainika kuhusika.

Tunawasihi wanachama wote kuendelea kuwa watulivu na waaminifu kwa chama wakati mchakato huu ukiendelea.

Imetolewa leo na;
Samwel Welwel
Mwenyekiti - Kanda ya Kaskazini

Pia soma: Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA. Wapinga chama kususia uchaguzi mkuu
Ukisikia udikteta ndiyo huu.CCM itaendelea kushika dola milele
 
Wachagga wanawazaga dili tu, Mungu ni mwema, chama Kiko mahala salama sasa. Let's go and let God!
 
Mrema acha fujo. Wenzako wameanza kunyolewa huko nyumbani
 
Back
Top Bottom