Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,921
- 30,263
Utangulizi
Prof. Ibrahim Lipumba ni msomi wa kutajika katika kundi kubwa lolote la wasomi popote pale duniani. Prof. Lipumba aliingia katika siasa mwaka wa 1995 si kwa mapenzi yake bali kwa kuchagizwa na marafiki zake kufuatia kifo cha ghafla cha Prof. Kighoma Malima.
Mwaka wa 1995 aligombea urais kwa tiketi ya CUF na kuanzia hapo aliweza kuijenga CUF kufikia kuwa chama chenye nguvu. Lakini kubwa katika historia ya vyama vya siasa Tanzania ni kule CUF Bara kutia nguvu kubwa katika siasa za visiwani na kuifanya CUF chama pekee katika vyama vya upinzani ukiondoa CCM, chenye wafuasi wengi Tanzania Visiwani na Tanzania Bara. Hakuna chama chochote Bara ambacho kimeweza kutimiza hili. Katika haya yote mchango wa Prof. Lipumba ulikuwa mkubwa sana usio na kifani. Kimetokea nini leo Prof. Lipumba aliyekuwa kipenzi cha wengi ghafla amepoteza yote aliyokuwa ananasibishwa nayo?
Kushoto: Mohamed Omar Mkwawa, Juma Duni Haji na Prof. Lipumba Tanga 1995
Picha hii ilipigwa nyumbani kwa mwanamama shupavu wa CUF marehemu Mama
Ummie Biti Anzuani
Mh Fatma Ferej Mwenyekiti wa Jumuia ya Wanawake
wa CUF Taifa (JUKE-CUF) akipiga kura
Prof. Lipumba akiwa amezungkwa na walinzi kwenye Mkutano Mkuu wa CUF
Prof. Lipumba kutoka katika mkeka wa Mama Ummie Biti Anzuani
hadi kwenye ukumbi wa kifahari, walinzi na viti vilivyovunjika kwa
mapigano
Mkutano Mkuu Maalum wa CUF ukirushwa
mubashara katika ''stream,'' Mwandishi alifuatilia
mkutano kutoka nyumbani
Prof. Lipumba akihutubia katika ushindi wa Serikali za Mitaa Kata ya Mzimuni
Magomeni
Prof. Lipumba akiwa nyumbani kwa Mwandishi miezi michache kabla hajajiuzulu
uwenyekiti wa CUF
Abbas Sykes na Prof. Lipumba kwenye walima wa harusi ya huyo
mtoto aliyemkumbatia katika picha hiyo hapo chini Faraj Mohamed
mwaka wa 2013
Kulia: Prof. Lipumba, Faraj Mohamed, Tamim Faraj, na waliosimma ni Mwandishi na Juma Kilaghai ambae alikuja kuwa msaidizi wa Prof. Lipumba picha ilipigwa nyumbani kwa Mwandishi 1995