Mi hyo nyimbo nnayo,NiPM namba yako ya WhatsApp nikutumie kwa anaetaka.
ndo yule anayedaiwa alimbaka Linah?
naam huyu jamaa kwa kupooza tu naye ni mkaliNi mwizi maarufu kinondoni...nilishangaa kusikia nae msanii.
a.k.a yake ni "nyang'au"
Ume nena vema na shule aliishia form 2!...Huyu bwana mdogo aliharibiwa na bangi akiwa mdogo sana, nakumbuka wakati niko form 6 pale Tanga tech yeye alikuwa form one wakati huo kichwa kikiwa tayari hakifai kwa bangi. Sidhani kama alipata malezi mazuri utotoni, tunaweza tukawa tunamlaumu kumbe ni suala la MALEZI ya toka utotoni
ume nena vema na shule aliishia form 2!...