Kimbunga Kenneth Kuikumba Tanzania

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
21,629
Reaction score
43,010
Mamlaka za hali ya hewa za Msumbiji zinatahadharisha kuwa kimbunga kipya cha kitropic kinajiunda katika bahari ya Hindi. Mamlaka zinasema endapo kimbunga hicho kitakuwa kitaitwa Kenneth na kitaikumba nchi hiyo ya Msumbiji pamoja na sehemu za Kusini Mashariki ya Tanzania.
Source BBC

 
Hao jamaa Mozambique wapambane na hali yao tuu..!

Wasitutabirie Majanga yanayo elekea kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…