johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,079
- 164,398
Anayejua Kimbisa alithibitka kutenda makosa yapi ambayo kwayo amesamehewa anijuze tafadhali.Je, aliomba radhi?!
Kulingana na puppet slows low ni kwa maandishi tuNa deadline ya Nchimbi kumuomba radhi malaika Mkuu ni lini!? Na hii radhi ni ya uso kwa uso, kuandika barua kwa malaika Mkuu au ya kwenda CLOUDS kuomba radhi hadharani!?