Kimbari genocide-maombolezo day today-tujikumbushe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimbari genocide-maombolezo day today-tujikumbushe

Discussion in 'International Forum' started by Sizinga, Apr 7, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kuanzia leo tarehe 7/4 (kila mwaka) wanyarwanda wanakuwa na siku ya maombolezo kuwakumbuka ndugu zao waliofariki katika mauaji ya kimbari(ni maombolezo ya wiki 2). Mauaji yalifanyika kwa muda wa siku mia(100) na huwa maombolezo haya huisha tarehe 4/7. Sasa ndani ya wiki hii kwa mtu yeyote huruhusiwi kusikiliza nyimbo ya aina yeyote kwenye radio isipokuwa za maombolezo, na ikitokea umefahamika kwamba umesikiliza bongofleva au nyimbo zingine basi unapigwa jela for minimum of two weeks.

  Kama ni mgeni kipindi hiki haushauriwi kwenda rwanda(ingawa waweza kenda) na ikitokea unazungumza neno baya kwa tsusi(tusi) tribe person basi unaweza ukawa kwenye very big problem for the rest of your life. Wanyarwanda kipindi hiki wanaenda pale Getose in Kigali ambapo kuna mifupa ya wale waliokufa na kuweka mashada na maua na kuwaombea marehemu.

  Sasa stori inaanza hivi(kwa jinsi ninavyokumbuka): Kwenye ile ndege ambayo ilitunguliwa kulikuwa na Rais wa rwanda General Habyarimana Juvenal, Rais wa Burundi, minister mmoja wa Rwanda na Ma-pilot wawili wa kifaransa. Inasadika kwamba ile ndege ikitokea ujerumani na Rais Habyarimana alikuwa na plani ya kuwaondoa/kuwaua wahutu wote pale rwanda, kilichofanyika wanajeshi wa kihutu wakaitungua ile ndege..hii ilitokea tarehe 6/4/1994..baada ya muda mfupi baadae,ilikuwa usiku wa manane,wanajeshi wa kihutu wakamvamia prime minister mama Agathe Uwwiringiyimana wakamuua na wakatetekeza familia yake pia...hii ilikuwa tarehe 7/4 midnit...na hapa ndipo haswa mauaji yalipoanza(today 7/4).

  Kipindi hicho Kagame alikuwa mwanajeshi huku Uganda,alitumwa yeye pamoja na mwanajeshi mwenzake General Fredgisa Rwigema huyu alikuwa Chief Arm ktoka Rpf waende Rwanda kwa mapigano na ikitokea kushinda basi watakuwa kwenye top position, kumbuka hii ilikuwa plan ya Museven kutawala nchi mbili Rwanda na Uganda, kipindi hicho mzee Kagame hakuwa na mahusiano mazuri na Museveni na hali hii ilipelekea kwa Museveni kuwasaidia wale wote ambao Kagame alikuwa na bifu nao(kwa mfano hata yule jamaa General Kayumba Nyamwasa alisaidiwa na Museveni kwenda uhamishoni South Afrika baada ya kuwa na bifu na Kagame).

  Kutokana na hili Kagame ikabidi amuue yule Chief na baadae akasingizia wahutu wamemuua, na hii aliikamilisha baada ya mauaji ya kimbari kumuweka Pastor Bizimungu kuwa kama Rais wa Rwanda na Museveni akawa Vice Prezidaa, ila kiukweli ni kwamba Pastor Bizimungu alikuwa controlled by Kagame. Hii ilimfanya Pastor asiwe na sauti kabisa, na ndipo akaamua kuachia ngazi kwa kudai hawezii kuingoza Rwanda na baadae akaanzisha chama chake cha siasa called Ubuyanja na hapo ndipo Kagame kwa mara ya kwanza akatwaa Urais wa Rwanda.

  Sasa hayo mauaji, mengi yamefanyika na wanyarwanda wengi kwa sasa wanaamini Kagame kahusika mno na hata kwenye kuilipua ile ndege, na kwa taarifa tu ni kwamba wale ndugu wa marehemu wa Rais Habyeramana, ndugu wa minister na raisi wa burundi pamoja na ndugu wa wale mapilot wafaransa waliouwa kwenye ile ndege wanamkaba koo Kagame kwamba damu yao inalmlilia kagame na sijui atatokea mlango upi coz hata serkali ya Sarkozh ishachoka kumtetea...

  My take: So haya ni kwa jinsi ninavyofahamu, kama nimekosea, mnirekebishe na kama kuna mamakumbukum bu mengine nakaribisha maoni, R.I.P wote waliouwa kwenye yala mauaji Kimbari.
   
 2. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama ulikuwa haujui,Mu7 ndo aliwapa sapoti RPF sasa hlo bifu lake na kagame lilikuwa wapi,and according to various sources Uganda na Rwanda walikuwa kuzichapa pale kisangani ndan ya Congo DRC wakati wote wameivamia kwenye vita ya pili ya Congo uku wakisapoti vikundi tofauti vya waasi.
   
 3. K

  Koba JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...Kama hujui kitu bora ukae kimya,maandishi marefu facts zero!
   
 4. K

  Koba JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
 5. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Je nilivyojaribu kumrekebisha,unakubaliana na mimi?
   
Loading...