Kimario na Pilipili.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimario na Pilipili..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TANMO, Jun 7, 2012.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu Kimario ni mchangamfu Bana, ni anaongea, anapenda kujisifu kweli.
  sasa tumeamua kukusanyika tuchome ndafu yetu angalau tuburudike.
  Kimario si akaja Bwana, ameshajipiga Safari zake kadhaa ile kufika si akang'ang'ania kutengeneza kachumbari.
  eti akadai Matesha hajui kutengeneza kachumbari nzuri. Akadai raha ya kachumbari ya nyama iwe na pilipili mingi. Matesha akaamua kukaa pembeni.
  Basi Kimario akaanza kukata mapilipili yake, si akashikwa na haja ndogo. Mara akachomoka chap ili akajisevu.
  kilichomtokea nitarudi kumalizia. Ila Kimario cha moto alikipata niaje?
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  nimekuelewa........kwa hiyo ile pilipili akashika kwenye kichwa cha mzee kijana!!!
   
 3. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,267
  Trophy Points: 280
  ...duh..
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mzee kipara na jicho lake moja alikoma...
   
 5. caven dish

  caven dish Senior Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nikiwa typical m-TZ najibu swali kwa swali ndipo kisha nitoe jibu! Kwani Kimario huyu ni wakike ama wa kiume?
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  ......yaani Kimario ni alipiga yowe mpaka kule Uru wakamsikia. Akaanza mpaka kugawa urithi eti anasema roho imeshamtoka..
   
Loading...