M Mkurabitambo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2010 Posts 230 Reaction score 57 Jul 20, 2012 #1 kutokana na ajal ya meli juz,serikal ilitangaza cku 3 za maombolezo.bendera zliamliwa kupepea nusu mlingoti.magamba hawajashusha yakwao.CCM sio Tz?
kutokana na ajal ya meli juz,serikal ilitangaza cku 3 za maombolezo.bendera zliamliwa kupepea nusu mlingoti.magamba hawajashusha yakwao.CCM sio Tz?
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,761 Jul 20, 2012 #2 Huu muungani ni wakinafiki mwanzo mwisho...anae utetea akiwa bungeni hawafanyi hivyo akiwa nje ya bunge au hafanyi kwa vitendo acha tuuvunjilie mbali..
Huu muungani ni wakinafiki mwanzo mwisho...anae utetea akiwa bungeni hawafanyi hivyo akiwa nje ya bunge au hafanyi kwa vitendo acha tuuvunjilie mbali..
mgen JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 23,255 Reaction score 9,174 Jul 20, 2012 #3 Mbako said: kutokana na ajal ya meli juz,serikal ilitangaza cku 3 za maombolezo.bendera zliamliwa kupepea nusu mlingoti.magamba hawajashusha yakwao.CCM sio Tz? Click to expand... Nimepita vingutinguti, pale mahakama ya mbuzi napo bendera ya CDM iko nusu mlingoti na cuf na tlp zipo zinapepea full!
Mbako said: kutokana na ajal ya meli juz,serikal ilitangaza cku 3 za maombolezo.bendera zliamliwa kupepea nusu mlingoti.magamba hawajashusha yakwao.CCM sio Tz? Click to expand... Nimepita vingutinguti, pale mahakama ya mbuzi napo bendera ya CDM iko nusu mlingoti na cuf na tlp zipo zinapepea full!