Kimara imeikosea nini Serikali?

Wewe ndo hujaelewa huu uzi kabisa. Tatizo siyo kma hakuna barabara tatizo ni hakuna barabara za lami. Tena kimara hakunaga shida ya njia kama ilivyo kigogo au mbagala kwamba mtu unapaki gari mtaa wa tatu kwa sababu vichochoro gari hazipiti, kimara hakunaga shida ya njia tatizo ni kwamba barabara huku zipo ila ni za vumbi. Hadi zipo barabara za kiwango cha tanroad mfano kimara-bonyokwa, temboni-goba n.k. Shida ni vumbii
 

Kila siku nakuambia uongeze font-size ya maneno yako lakini hausikii, sasa endelea...
 
Sidhan kama kuna awam ya makabila nchi hii. Otherwise kazi aliyofanya nyerere ni kazi bure.
And maybe wangekua maskin wa kutupwa awam hii
ni waTanzania lakini hii sio awamu yao
 
Tatizo mmejazana wachagga...kimara na mbezi utadhani umeingia moshi ndogo.
Kwa hio ukiwa mchaga hustahili maendeleo yanayofanywa na Serikali.?
Hivi mna nini na wachaga?.

Mbona Kitunda ni kama umeingia Ukuryani ?.
 
Lami muwekewe kwa mpangilio upi?
Kimara ndy sehemu inayoongoza watu kujenga Bila kufata mpangilio
Kimara hakuna mitaa ujenzi ni vululuvululu!
Mtu anajenga mbele ya geti lako huko

Ova
 
Hv umepita mwananyamala mbona skwata zaidi na kumewekwa vilami japo vyembambaa
Mwananyamala ipi
Nenda nyuma ya Vijana kote kuna mitaa
Kimara mmezidi kujenga kiholelaaa
Hiyo lami ya temboni kwenda saranga inawatosha tena imeishia kati

Ova
 
Tegeta wapi kuna lami?
 
mmezidi kuwang'ang'ania wachadema ndio maana maendeleo hakuna huko mzee.wewe jaribu siku moja kuwa converse akina kubenea na mnyika waunge mkono juhudi za mzee baba uone kama ndani ya wiki mbili kila uchochoro kama hautowekewa lami.
Waitara kaunga mkono lakini kivule Barbara zake kama Jehanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…