Kimara imeikosea nini Serikali?

Kimara imeikosea nini Serikali?

Tatizo wachaga wa kimara wabahili mno kwa ardhi.ukienda maeneo mengine watu wakinunua viwanja maebeo yasiyopimwa kila mtu anamega eneo na jirani naye anamega eneo ili wawe na barabara katikati yao .Hivyo naturally unakuta eneo halijapimwa Lakini watu walishajiwekea barabara wenyewe tayari.Hivyo inakuwa rahisi kea serikali kujenga bill kuhangaika kubomoa nyumba za watu na kulipa fidia.Ukienda maeneo ya wachaga akinunua eneo lisilopimwa Cha kwanza analipiga fence zinga la ukuta lote haachi hata sentimeta Moja ya njia hata ya mwenda kwa miguu na haongei hata na majirani ili waachiane kipande Cha barabara uswahilini hukiita kipande Cha kupitisha jeneza kuupeleka mwili wa Marehemu kwenye mazishi makaburini.Ndio maana unakuta maeneo yasiyo na wachaga wengi barabara ziko nyingi kila Kona serikali Wala haikuhusika kuzifanya ziwepo Ni wananchi wenyewe.Serikali ikija Ni kubandika lami tu Basi.Siyo kuanza kupiga hesabu barabara itapita wapi mbona kila sehemu Kuna nyumba na maeneo ya watu.nenda mbagala,gongolamboto,vingunguti,kimanzichana,nk uswahilini kabisa Lakini barabara ziko kibao na maeneo hayajapimwa
Wewe ndo hujaelewa huu uzi kabisa. Tatizo siyo kma hakuna barabara tatizo ni hakuna barabara za lami. Tena kimara hakunaga shida ya njia kama ilivyo kigogo au mbagala kwamba mtu unapaki gari mtaa wa tatu kwa sababu vichochoro gari hazipiti, kimara hakunaga shida ya njia tatizo ni kwamba barabara huku zipo ila ni za vumbi. Hadi zipo barabara za kiwango cha tanroad mfano kimara-bonyokwa, temboni-goba n.k. Shida ni vumbii
 
Kwani Tanzania nzima eneo linalohitaji Miundombinu ya Barabara ni Kimara tu peke yake? Kuna Watu ni Maduduna hapa Tanzania hadi mnakera na huenda kutokana na huu Ubinafsi wenu ndiyo maana mnaachwa na hampatiwi hayo Maendeleo mnayoyataka kutoka Serikalini. Badilikeni kwani bado hamjachelewa.

Kila siku nakuambia uongeze font-size ya maneno yako lakini hausikii, sasa endelea...
 
Sidhan kama kuna awam ya makabila nchi hii. Otherwise kazi aliyofanya nyerere ni kazi bure.
And maybe wangekua maskin wa kutupwa awam hii
ni waTanzania lakini hii sio awamu yao
 
Tatizo mmejazana wachagga...kimara na mbezi utadhani umeingia moshi ndogo.
Kwa hio ukiwa mchaga hustahili maendeleo yanayofanywa na Serikali.?
Hivi mna nini na wachaga?.

Mbona Kitunda ni kama umeingia Ukuryani ?.
 
Lami muwekewe kwa mpangilio upi?
Kimara ndy sehemu inayoongoza watu kujenga Bila kufata mpangilio
Kimara hakuna mitaa ujenzi ni vululuvululu!
Mtu anajenga mbele ya geti lako huko

Ova
 
Hv umepita mwananyamala mbona skwata zaidi na kumewekwa vilami japo vyembambaa
Mwananyamala ipi
Nenda nyuma ya Vijana kote kuna mitaa
Kimara mmezidi kujenga kiholelaaa
Hiyo lami ya temboni kwenda saranga inawatosha tena imeishia kati

Ova
 
Kimara ni eneo ambalo limekua kwa kasi tangu kipindi cha Mwinyi hadi Mkapa, Kikwete na Magufuli kuliko maeneo mengine yote lakini hadi leo hakuna barabara za ndani za lami.

Ukiondoa kipande cha kutoka Baruti kwenda chuo kilichokamilika juzi, kuanzia Ubungo hadi Mbezi hakuna barabara za ndani zenye lami isipokuwa kipande kidogo cha kilomita 2 kinachotokea Kimara Temboni na kuelekea nyumbani kwa bosi wa TANROADS ndugu Mfugale.

Huyu Mfugale ambaye kasifiwa na bosi wake hadi kuzawadiwa jina la flyover ya Buguruni kwa ushujaa wa kuwanyima wana Kimara wenzie barabara na kujipendelea yeye mwenyewe. Huu ubinafsi wa mtu kujipendelea kwake kwanza kama taifa unatupeleka pabaya mtu anapongezwa badala ya kutumbuliwa.

Kimara ilianza kuchangamka kitambo kabla ya Kinyerezi, Lumo, Goba, Segerea, Tegeta lakini wenzetu wameendelea kimiundombinu kuliko Kimara ni ubishini kuliko maeneo hayo
Tegeta wapi kuna lami?
 
mmezidi kuwang'ang'ania wachadema ndio maana maendeleo hakuna huko mzee.wewe jaribu siku moja kuwa converse akina kubenea na mnyika waunge mkono juhudi za mzee baba uone kama ndani ya wiki mbili kila uchochoro kama hautowekewa lami.
Waitara kaunga mkono lakini kivule Barbara zake kama Jehanamu
 
Back
Top Bottom