Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Kuna wachaga wengi.. kwa hio wasukuma hawawezi kupeleka bara bara pale
Sarangamvua zikinyesha hali mbaya sana, baada ya ile lami
Tatizo mmejazana wachagga...kimara na mbezi utadhani umeingia moshi ndogo.
ni waTanzania lakini hii sio awamu yaoKwa hiyo wachagga si watanzania?
Kimara ni eneo ambalo limekua kwa kasi tangu kipindi cha Mwinyi hadi Mkapa, Kikwete na Magufuli kuliko maeneo mengine yote lakini hadi leo hakuna barabara za ndani za lami.
Ukiondoa kipande cha kutoka Baruti kwenda chuo kilichokamilika juzi, kuanzia Ubungo hadi Mbezi hakuna barabara za ndani zenye lami isipokuwa kipande kidogo cha kilomita 2 kinachotokea Kimara Temboni na kuelekea nyumbani kwa bosi wa TANROADS ndugu Mfugale.
Huyu Mfugale ambaye kasifiwa na bosi wake hadi kuzawadiwa jina la flyover ya Buguruni kwa ushujaa wa kuwanyima wana Kimara wenzie barabara na kujipendelea yeye mwenyewe. Huu ubinafsi wa mtu kujipendelea kwake kwanza kama taifa unatupeleka pabaya mtu anapongezwa badala ya kutumbuliwa.
Kimara ilianza kuchangamka kitambo kabla ya Kinyerezi, Lumo, Goba, Segerea, Tegeta lakini wenzetu wameendelea kimiundombinu kuliko Kimara ni ubishini kuliko maeneo hayo
mmezidi kuwang'ang'ania wachadema ndio maana maendeleo hakuna huko mzee.wewe jaribu siku moja kuwa converse akina kubenea na mnyika waunge mkono juhudi za mzee baba uone kama ndani ya wiki mbili kila uchochoro kama hautowekewa lami.Kimara ni eneo ambalo limekua kwa kasi tangu kipindi cha Mwinyi hadi Mkapa, Kikwete na Magufuli kuliko maeneo mengine yote lakini hadi leo hakuna barabara za ndani za lami.
Ukiondoa kipande cha kutoka Baruti kwenda chuo kilichokamilika juzi, kuanzia Ubungo hadi Mbezi hakuna barabara za ndani zenye lami isipokuwa kipande kidogo cha kilomita 2 kinachotokea Kimara Temboni na kuelekea nyumbani kwa bosi wa TANROADS ndugu Mfugale.
Huyu Mfugale ambaye kasifiwa na bosi wake hadi kuzawadiwa jina la flyover ya Buguruni kwa ushujaa wa kuwanyima wana Kimara wenzie barabara na kujipendelea yeye mwenyewe. Huu ubinafsi wa mtu kujipendelea kwake kwanza kama taifa unatupeleka pabaya mtu anapongezwa badala ya kutumbuliwa.
Kimara ilianza kuchangamka kitambo kabla ya Kinyerezi, Lumo, Goba, Segerea, Tegeta lakini wenzetu wameendelea kimiundombinu kuliko Kimara ni ubishini kuliko maeneo hayo
Hatuwachagui ng'o ila tunajua 2020 watajipitisha wao maccm na sisi tuwaone kama watajenga izo lami wakishajipa ubunge kwa wizimmezidi kuwang'ang'ania wachadema ndio maana maendeleo hakuna huko mzee.wewe jaribu siku moja kuwa converse akina kubenea na mnyika waunge mkono juhudi za mzee baba uone kama ndani ya wiki mbili kila uchochoro kama hautowekewa lami.
Tatizo wachaga wa kimara wabahili mno kwa ardhi.ukienda maeneo mengine watu wakinunua viwanja maebeo yasiyopimwa kila mtu anamega eneo na jirani naye anamega eneo ili wawe na barabara katikati yao .Hivyo naturally unakuta eneo halijapimwa Lakini watu walishajiwekea barabara wenyewe tayari.Hivyo inakuwa rahisi kea serikali kujenga bill kuhangaika kubomoa nyumba za watu na kulipa fidia.Ukienda maeneo ya wachaga akinunua eneo lisilopimwa Cha kwanza analipiga fence zinga la ukuta lote haachi hata sentimeta Moja ya njia hata ya mwenda kwa miguu na haongei hata na majirani ili waachiane kipande Cha barabara uswahilini hukiita kipande Cha kupitisha jeneza kuupeleka mwili wa Marehemu kwenye mazishi makaburini.Ndio maana unakuta maeneo yasiyo na wachaga wengi barabara ziko nyingi kila Kona serikali Wala haikuhusika kuzifanya ziwepo Ni wananchi wenyewe.Serikali ikija Ni kubandika lami tu Basi.Siyo kuanza kupiga hesabu barabara itapita wapi mbona kila sehemu Kuna nyumba na maeneo ya watu.nenda mbagala,gongolamboto,vingunguti,kimanzichana,nk uswahilini kabisa Lakini barabara ziko kibao na maeneo hayajapimwaKumbuka yafuatayo:-
1. Kimara-Mbezi ni squarter ie hakujapimwa na hivyo hakuna barabara iliyokidhi vigezo vya lami sawa na tegeta.
2.miundombinu haikidhi matakwa ya kuwekwa lami, maeneo mengi ni maeneo ya raia.
3.wamejaa wachaga
umeona eeh.... hahhaahhahSasa kama kumbe nia yako Kuu ilikuwa ni Kumzungumzia Injinia Mfugale kwani umezunguka sana hadi unatuchosha huku ukijifanya unawahusisha wana Kimara wote utadhani labda wote waishio Kimara huko wana Chuki na huyo Mfugale wako kama ambavyo Wewe bila Kificho unaonekana unamchukia na wala hukupenda jinsi alivyosifiwa na Boss wake.
Kimara ni eneo ambalo limekua kwa kasi tangu kipindi cha Mwinyi hadi Mkapa, Kikwete na Magufuli kuliko maeneo mengine yote lakini hadi leo hakuna barabara za ndani za lami.
Ukiondoa kipande cha kutoka Baruti kwenda chuo kilichokamilika juzi, kuanzia Ubungo hadi Mbezi hakuna barabara za ndani zenye lami isipokuwa kipande kidogo cha kilomita 2 kinachotokea Kimara Temboni na kuelekea nyumbani kwa bosi wa TANROADS ndugu Mfugale.
Huyu Mfugale ambaye kasifiwa na bosi wake hadi kuzawadiwa jina la flyover ya Buguruni kwa ushujaa wa kuwanyima wana Kimara wenzie barabara na kujipendelea yeye mwenyewe. Huu ubinafsi wa mtu kujipendelea kwake kwanza kama taifa unatupeleka pabaya mtu anapongezwa badala ya kutumbuliwa.
Kimara ilianza kuchangamka kitambo kabla ya Kinyerezi, Lumo, Goba, Segerea, Tegeta lakini wenzetu wameendelea kimiundombinu kuliko Kimara ni ubishini kuliko maeneo hayo
Sasa kama kumbe nia yako Kuu ilikuwa ni Kumzungumzia Injinia Mfugale kwani umezunguka sana hadi unatuchosha huku ukijifanya unawahusisha wana Kimara wote utadhani labda wote waishio Kimara huko wana Chuki na huyo Mfugale wako kama ambavyo Wewe bila Kificho unaonekana unamchukia na wala hukupenda jinsi alivyosifiwa na Boss wake.
Kosa kubwa mlilofanya ni kuwakaribisha " maadui wa Taifa " WachagaKimara ni eneo ambalo limekua kwa kasi tangu kipindi cha Mwinyi hadi Mkapa, Kikwete na Magufuli kuliko maeneo mengine yote lakini hadi leo hakuna barabara za ndani za lami.
Ukiondoa kipande cha kutoka Baruti kwenda chuo kilichokamilika juzi, kuanzia Ubungo hadi Mbezi hakuna barabara za ndani zenye lami isipokuwa kipande kidogo cha kilomita 2 kinachotokea Kimara Temboni na kuelekea nyumbani kwa bosi wa TANROADS ndugu Mfugale.
Huyu Mfugale ambaye kasifiwa na bosi wake hadi kuzawadiwa jina la flyover ya Buguruni kwa ushujaa wa kuwanyima wana Kimara wenzie barabara na kujipendelea yeye mwenyewe. Huu ubinafsi wa mtu kujipendelea kwake kwanza kama taifa unatupeleka pabaya mtu anapongezwa badala ya kutumbuliwa.
Kimara ilianza kuchangamka kitambo kabla ya Kinyerezi, Lumo, Goba, Segerea, Tegeta lakini wenzetu wameendelea kimiundombinu kuliko Kimara ni ubishini kuliko maeneo hayo
Tatizo mmejazana wachagga...kimara na mbezi utadhani umeingia moshi ndogo.
Naomba kuuliza mkuu, kuwa na wachaga wengi eneo la Kimara kunaathiri/kunakwamisha vipi maendeleo ya Kimara hususani kujengwa kwa hizo barabara ?Mimi nakaa Kimara Mwisho jibu nalijua kwa nn. Watu wanaosema kuna wachaga wengi wasipuuzwe wana hoja ila wanazunguka kuisema hiyo hoja. Tubadilike wana Kimara ili tuletewe maendeleo Kimara inaachwa kwa sababu ya wachaga wanaohamua baadhi ya mambo. Tujaribu hata kwa miaka mitano ili watuletee maendeleo. Sehemu kama Mbagala huko na Mbagala Kuu watu wana lami mpk milangoni jiulize Kimara tumekosa nn
Tatizo wachaga wa kimara wabahili mno kwa ardhi.ukienda maeneo mengine watu wakinunua viwanja maebeo yasiyopimwa kila mtu anamega eneo na jirani naye anamega eneo ili wawe na barabara katikati yao .Hivyo naturally unakuta eneo halijapimwa Lakini watu walishajiwekea barabara wenyewe tayari.Hivyo inakuwa rahisi kea serikali kujenga bill kuhangaika kubomoa nyumba za watu na kulipa fidia.Ukienda maeneo ya wachaga akinunua eneo lisilopimwa Cha kwanza analipiga fence zinga la ukuta lote haachi hata sentimeta Moja ya njia hata ya mwenda kwa miguu na haongei hata na majirani ili waachiane kipande Cha barabara uswahilini hukiita kipande Cha kupitisha jeneza kuupeleka mwili wa Marehemu kwenye mazishi makaburini.Ndio maana unakuta maeneo yasiyo na wachaga wengi barabara ziko nyingi kila Kona serikali Wala haikuhusika kuzifanya ziwepo Ni wananchi wenyewe.Serikali ikija Ni kubandika lami tu Basi.Siyo kuanza kupiga hesabu barabara itapita wapi mbona kila sehemu Kuna nyumba na maeneo ya watu.nenda mbagala,gongolamboto,vingunguti,kimanzichana,nk uswahilini kabisa Lakini barabara ziko kibao na maeneo hayajapimwa
sina chuki na wachagga nimekaa sana na wachagga kule mkuu kota za wilayani..nimekaa kiboriloni...Chekereni na wapare wa Same kidogo,...ni watu wazuri and sina tatizo nao ila kwenye huu uzi i just gave my humble opinion which is absolutely truth kwenye hii awamu kuwa ni ya Wanyonge na ninyi wachagga sio wanyonge.Jinga sana.
Kwa hiyo Wachagga kukaa pamoja ni tatizo?
Aisee! Basi kumbe ungefika Goba na Tegeta ndiyo ungechanganyikiwa kabisa.
Wachagga kukaa pamoja siyo tatizo unless otherwise una chuki binafsi tu na husda uliokithiri
Kuna wachaga wengi.. kwa hio wasukuma hawawezi kupeleka bara bara pale