Kimalindi original

Kimalindi original

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,062
Ninezimiss
43172f8cce55e10068a2a657e0510288.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazijua hizi, zinapatikana sana pande za ugweno na usangi mwanga kilimanjaro

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Mzee umenikumbusha mbali sana. Kuna ndizi zinaitwa ndizi kisukari, zenyewe zikiiva zinakuwa za njano. Sasa hizi tulikuwa tunaita kisukari nyekundu, yaani ni tamu balaa. Daaa nimetafuta sana mbegu yake nipande shambani kwangu aisee. Halafu kuna mapapai fulani pia tulikuwa tunayaita mapapai maharage sababu ndani unakuta sio la njano, bali jekundu. Lenyewe pia ni tamu balaa. Kuna babu alinambia, mjukuu wangu, vitu vingi vyenye rangi nyekundu ni vitamu sana. Yaani mpaka leo bado sijamuelewa babu aisee.
 
Ni kweli kabisa vitu vyenye rangi nyekundu ni vitamu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliziona kama hizi nyekundu kule lushoto Kwa babu..nakumbuka kuna vindizi Fulani vidogo wanaviita Juma muhuni hivyo ukila kama tumbo lako sio madhubuti basi chooni utaweka kambi Kwa muda.
 
Back
Top Bottom