Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,267
TBL ni Kiwandaa na wanadhamini kupitia brand yao ya kilimanjaro kwa msimu wa 2014/15
huenda wengine tukawa na imani ya Tomaso, weka japo picha Jamal Malinzimwangalingimungu Kocha Kim Poulsen alilipwa stahili zake,tena mbele ya viongozi wa Serikali,na alisaini hati ya kuridhika na malipo yake,everything is documented.
Sasa nimegundua chanzo cha kutoeleweka kwangu na baadhi yenu. Niliuliza iwapo Vodacom ndio sole and exclusive sponsors wa Ligi Kuu. Bila ya yeyote kujibu, akaishia kurukia anayodhani anayajua. Angalia dondoo hii hapa ya Citizen la Oktoba 19 mwaka huu kwa taarifa yako. Hoja iliyotufikisha kwenye mada ya udhamini wa Ligi Kuu ni kwamba Azam haishiriki ligi inayodhaminiwa na pombe. Kwa tafsiri sahihi ya Uislamu ambao ndio unaoiziwia Azam isitangaze pombe, Azam isingepaswa kushiriki mashindano ambayo pombe inayadhamini hata kama yenyewe haikudhaminiwa kipombe. Madam timu zinazodhaminiwa na pombe zinacheza na Azam hiyohiyo, ni sawa na kuwa yenyewe imeshiriki pia. Kwa tafsiri pana ya udhamini, TBL ni mdhamini wa Ligi Kuu kama ilivyo NMB au Bin Slum Tyres.Na kwa kuwa upeo wetu wa uwelewa haufanani, nahisi hapa utakuwa ndio mwisho wa mjadala wangu nawe na wanaokuunga mkono juu ya swala hili.
Tanzania premier league valued at Sh6.5bn: Board
Dar es Salaam. Tanzania Premier League Board (TPLB) has said they have managed to raise the value of the Mainland League from Sh3.5 billion last season to Sh6.5 billion presently.
Speaking to The Citizen on Sunday, TPLB chief executive officer Silas Mwakibinga said the networth increased because the league attracted more sponsors including Vodacom Tanzania, Azam Television rights and clubs individual sponsorships.
Mwakibinga said the main sponsor, Vodacom Tanzania, has signed a contract to invest a total of Sh2.3 billion for both teams in cash and sports gear.
The sponsor has already given a total of Sh435 million for sports gear to all 14 teams.
He said that Azam Media Group has committed Sh1.8 billion for television rights and the sum of Sh2.4 billion is the individual sponsorship packages for seven teams featuring in the league.
Young African and Simba Sports Clubs secured sponsorship of Tanzania Breweries Limited (TBL) via its Kilimanjaro Premium Lager. The value of sponsorship currently is Sh400 million for a full year.
On the other hand, the defending champions, Azam Football Club, is under sponsorship of the National Microfinance Bank (NMB) in a contract worth Sh1 billion per year.
Also in the list are Mbeya City that secured a sponsorship of Binslum Tyres worth Sh180 million per year; Ndanda FC and Stendi United both having a sponsorship deal from Binslum worth Sh50 million per year; and Coastal Union that secured a Sh120 million per year from Pembe Flour.
Mnapotoa mifano jitahidi kuwa na kumbukumbu nzuri. Kama unataka kulinganisha 'mafanikio' ya Simba na Yanga kimataifa dhidi ya hizi timu ngeni utakuwa unalinganisha mlima na kichuguu.
Ni timu ipi inaizidi Simba na Yanga kimataifa?
mafanikio gani mkubwa hta makundi hawaingia miaka zaidi ya kumi sasa
Lakini angalau unajua kwamba TBL inadhamini ligi hiyo kwa miaka zaidi ya mitano sasa kupitia chapa yao ya Kilimanjaro Premium Lager? Naomba nikariri kauli yangu kwamba upeo wetu wa uwelewa haulingani. Kwa heri!we jamaa hoja zako Ni dhaifu Sana tbl wanazidhamini simba na yanga hawana package yoyote ya udhamini kwny ligi kuu kwa unayoyasema hta Iran wasingeshiriki kombe la dunia,kwa hili azam Wako sahihi coz hawatangazi pombe ya aina yoyote
Tanzania yetu ya ajabu sana. Kila kona watu utawasikia wakipiga stori za mpira tuu. Dar ndio kabisaaa mpira mpira mpira toka asubuhi hadi nyingine. Mpira ni poa lakini usidumaishe akili zetu kufikiri mambo mengine ya maana. Fikiria hadi watoto wanajaza wachezaji kwenye mitihani. Tubadilike bana
TBL ni Kiwandaa na wanadhamini kupitia brand yao ya kilimanjaro kwa msimu wa 2014/15
Lakini angalau unajua kwamba TBL inadhamini ligi hiyo kwa miaka zaidi ya mitano sasa kupitia chapa yao ya Kilimanjaro Premium Lager? Naomba nikariri kauli yangu kwamba upeo wetu wa uwelewa haulingani. Kwa heri!
Nilishaagana na wewe kitambo kwa kuwa tunatofautiana kiuelewa. Lakini kwa faida ya wengine, labda wakuulize:tbl hawadhamini ligi kuu wanadhamini simba na yanga,hakuna hela yoyote wanayotoa kwa vilabu vingine ukiachilia wanazotoa kwa wanazozidhamini hivyo hakuna mantiki ya kuwaita wadhamini WA ligi kuu
Nilishaagana na wewe kitambo kwa kuwa tunatofautiana kiuelewa. Lakini kwa faida ya wengine, labda wakuulize:
1.Chapa ya Kilimanjaro Premium Lager haidhamini ligi kuu? Bia ya KPL si ya TBL?
2.Tusahau hayo ya KPL, hiyo TBL unayoijua wewe, wanazidhamini Simba na Yanga kwenye nini (licha ya Mtani Jembe) kama sio ligi kuu? Hivi mtu anaposomesha watoto wako wawili kati ya kumi na nne ulio nao, unasema haisaidii familia yako?
3.Kamati ya Ligi inapowataka wadhamini wengine zaidi ya Vodacom kuzidhamini timu za ligi kuu na wadhamini hao wakakubali kufanya hivyo, usahihi ni kuwa wadhamini hao wamedhamini au hawakudhamini ligi hiyo?
Siombi jibu kutoka kwako kwa sababu ninaelewa uelewa wako, maswala haya ni kwa faida ya wanaokwazwa na mjadala wetu.