Kim Poulsen kocha mpya Simba

Kim Poulsen kocha mpya Simba

Mbeya city,upepo wa asubuhi..kwishn
 
Simba imekaa kiswaili sana, hawata weza kudumu nae
 
Na mngesemaje kama licha ya mikataba mitatu minono Yanga na Simba zingekuwa mkiani mwa msimamo wa Ligi kama walivyo hao 'wenzao' hivi sasa? Si ndio nyinyi ambao mngezinanga kwa matumizi mabaya kwa kushindwa angalau usajili wa mchezaji mmoja wa maana? Mpeni Kaizari kilicho cha Kaizari, na mpeni Mungu kilicho cha Mungu!
Soka la Bongo ni zaidi ya uwanjani mkuu, kama ukitembelea mazoezi ya timu hizi utagundua kuwa tofauti zao si kubwa kiasi cha kufanya timu mbuli tu zibadilishane ubingwa miaka nenda rudi.
Washabiki na viongozi wa timu hizi wanaona ni mwiko kwao kufungwa, ndio maana ushindi unatafutwa kwa namna yoyote. Ndiyo sababu pamoja na figisu zote bado wanaweza kuwa juu kwenye soka letu, wanapoenda kimataifa ndipo unapoona tofauti ya bingwa kweli na bingwa magumashi.
 
Unakusudia wanaofanya hayo ni Yanga na Simba pekee? Mara ngapi timu zisizo hizo zimekuwa zikilalamika kwamba zinalazimishwa kufungwa zinapokuwa viwanja vya ugenini? Mara ngapi hizohizo Yanga na Simba zimekumbana na adha ya hujuma kama hizo zinapocheza na hizohizo akina Mbeya City na Coastal Union? Unakumbuka mabasi ya Yanga au Simba kurushiwa mawe yanapokwenda kucheza mechi za raundi ya kwanza dhidi ya timu za mikoani? Wangapi wanaamini hadi sasa kwamba ushindi wa Azam msimu uliopita ulikuwa wa kimagumashi? Ulimsikia Maximo alivyolalamika Yanga walipofungwa na Kagera (Mbona hakulalamika alipofungwa na Mtibwa?)?Mara ngapi timu zinalalamikia hujuma zinapocheza viwanja vya timu za majeshi? Hata wewe mwenyewe umeanza kwa kusema 'Soka la Bongo', siyo soka la Simba na Yanga. Msizitafutie timu visingizio zinapofanya vibaya, kama kwamba timu hizohizo zinapofanya vizuri visingizio hivyo vinakuwa havipo. Mpeni Kaizari kilicho cha Kaizari, mpeni Mungu kilicho cha Mungu.
 
mr negative at work kwsko cku zote hakuna baya linalofanywa na hawa wakubwa wawili,hta jambo likiwa wazi still utawatetea kwmba cyo wao ILA Kuna waliosababisha
 
Mkuu kuna falsafa imejengeka miongoni mwa washabiki wetu. Kuwa timu yao ikifungwa sio bure, kwa kulijua hili viongozi huwa wanakwepesha mzigo wa lawama kwa kuwatwisha lawama marefa ama kudai kuna mtu/kikundi kinawahujumu na washabiki nao hufuata mkumbo huu.
Azam wamebeba taji mara moja, juhudi, uwekezaji na mipango yao si haba, unaweza kusema wanastahili. Lakini timu zinapokuwa zimebadilishana ubingwa mara nyingi sana huku zikifeli mashindano ya kimataifa kunatia shaka.
Ni rahisi kumtafuta wa kumuangushia mzigo kwenye matokeo, vipi kwenye mambo ya kiutawala ambako miaka nenda rudi wanafeli, haikustui akili hii?
 
Shkamoo komeka!
 
Last edited by a moderator:

Nadhani unashindwa kuielewa hoja yangu ya msingi. Nayo ni kwamba kama kucheza rafu, huo (inavyosemekana) ndio mtindo wa Ligi yetu, sio mpango wa Yanga na Simba tu. Ajabu ni kwamba nyinyi mnaojifanya washabiki wa Mbeya City na Azam mnalihusisha hilo na Yanga na Simba pekee. Nimekutolea kauli zinazosemwa zinazozihusisha timu zisizo Yanga na Simba kutajwa kwenye hujuma za aina hiyo, ingawa nyinyi mnaojifanya wapenzi wa Azam na Mbeya City huwa hamzipi uzito. Mimi nazichukulia fununu zote hizo kwa uzito sawa. Kwa hivyo timu ifanye vizuri ama vibaya, haipaswi kutumia kisingizio cha hujuma kama sababu (ndio maana hata wewe hutaki ushindi wa Azam uhusishwe na hujuma, ingawa unazihusisha Yanga na Simba na hujuma).
Kuhusu unachokiita Azam na kujipanga, naomba usitafune maneno kwa kunijibu swala moja tu: 'Ni nini dira na dhamira (mission and vision statement) ya Azam kama timu?'
 
mkuu siasa imekujaa kama kikwete? kwa nini usikubali kuwa simba na yanga ni timu za kimaghumashi!!!
 
mr negative at work kwsko cku zote hakuna baya linalofanywa na hawa wakubwa wawili,hta jambo likiwa wazi still utawatetea kwmba cyo wao ILA Kuna waliosababisha
1. Kati ya wanaozinanga timu hizi na mimi ninayezitetea, nani anapaswa kuwa Mr. Negative?
2. Kwamba Mbeya City imepata udhamini mnono, ambalo ndilo nililolochangia mimi, na kwamba iko mkiani kwa ligi hivi sasa, hayo hayako wazi? Baina ya ukweli huo na kwamba Ligi ya Bongo ni nje ya uwanja (ambalo ndio jawabu yenu kwa hoja yangu) lipi ni wazi zaidi?
3. Tatizo lenu washabiki mamboleo wa Ligi ya Tanzania ni kwamba mmelishwa limbwata mamboleo na waandishi mamboleo wa michezo hapa Tanzanaia kwamba Yanga na Simba ndio vikwazo vya mpira wa Tanzania. Mnaloshindwa kubaini ni kwamba (a) hao waandishi mamboleo wameshabaini umuhimu wa timu hizo mbili kwenye mauzo yao, kiasi kwamba habari zao haziuzi bila ya kuzitaja timu hizo, lakini yanauza bila ya kuzitaja Mbeya City na Azam. Basi angalau wafanye hivyo kwa heshima kama wanavyofanya TBL (nashangaa hamjawalaumu kwa kutoanzisha Mtani Jembe ya Azam na Mbeya City!) (b) hata nyinyi mnaojifanya wapenzi wa Azam na Mbeya City, bado mnabaki kufananisha maendeleo ya timu zenu na timu hizi mbili mmazodhani mnazinanga (kumbe ndio mnazipandisha chati). Hamjiulizi kwa nini? Mbona sijawasikia hata mara moja kwamba mnataka Azam na Mbeya City ziwe kuliko Mtibwa, Kagera Sugar au JKT Ruvu? Hamjiulizi kwa nini, Mr. Positive et al?
 
mkuu siasa imekujaa kama kikwete? kwa nini usikubali kuwa simba na yanga ni timu za kimaghumashi!!!
1. Kwa nini usijibu kwanza swala langu la mwosho kwenye hoja uliyoijibu?
2. Hakuna jipya wala la pekee kwenye maswala ya soka na unedeshaji wake. Nitajie timu yoyote nyingine ya kimagumashi iliyowahi sio tu kutwaa ubingwa wa nchi mara nyingi zaidi kuliko nyenzake zote, lakini pia iliyodumu muda wote wa ligi ya nchi yake bila ya kushuka daraja, ambayo pia inabaki kuwa bingwa mtarajiwa kila msimu wa ligi.
3. Simba na Yanga zinaweza kuwa za kimagumashi iwapo tu Ligi yenyewe ni ya kimagumashi pia. Na hilo haliwezekani bila ya timu nyengine zote zilizobaki kuwa za kimagumashi pia.
 
Tanzania yetu ya ajabu sana. Kila kona watu utawasikia wakipiga stori za mpira tuu. Dar ndio kabisaaa mpira mpira mpira toka asubuhi hadi nyingine. Mpira ni poa lakini usidumaishe akili zetu kufikiri mambo mengine ya maana. Fikiria hadi watoto wanajaza wachezaji kwenye mitihani. Tubadilike bana

Ulitaka muda wote tufikirie siasa tu we mngese kweli...hujui simulizi za Moira ndio zinatupa faraja
 
Nadhani unashindwa kuielewa hoja yangu ya msingi. Nayo ni kwamba kama kucheza rafu, huo (inavyosemekana) ndio mtindo wa Ligi yetu, sio mpango wa Yanga na Simba tu. Ajabu ni kwamba nyinyi mnaojifanya washabiki wa Mbeya City na Azam mnalihusisha hilo na Yanga na Simba pekee. Nimekutolea kauli zinazosemwa zinazozihusisha timu zisizo Yanga na Simba kutajwa kwenye hujuma za aina hiyo, ingawa nyinyi mnaojifanya wapenzi wa Azam na Mbeya City huwa hamzipi uzito. Mimi nazichukulia fununu zote hizo kwa uzito sawa. Kwa hivyo timu ifanye vizuri ama vibaya, haipaswi kutumia kisingizio cha hujuma kama sababu (ndio maana hata wewe hutaki ushindi wa Azam uhusishwe na hujuma, ingawa unazihusisha Yanga na Simba na hujuma).
Kuhusu unachokiita Azam na kujipanga, naomba usitafune maneno kwa kunijibu swala moja tu: 'Ni nini dira na dhamira (mission and vision statement) ya Azam kama timu?'

Tunajifanya mashabiki wa Mbeya City na Azam? Bora yesheee...
 
1. Kati ya wanaozinanga timu hizi na mimi ninayezitetea, nani anapaswa kuwa Mr. Negative?
2. Kwamba Mbeya City imepata udhamini mnono, ambalo ndilo nililolochangia mimi, na kwamba iko mkiani kwa ligi hivi sasa, hayo hayako wazi? Baina ya ukweli huo na kwamba Ligi ya Bongo ni nje ya uwanja (ambalo ndio jawabu yenu kwa hoja yangu) lipi ni wazi zaidi?
3. Tatizo lenu washabiki mamboleo wa Ligi ya Tanzania ni kwamba mmelishwa limbwata mamboleo na waandishi mamboleo wa michezo hapa Tanzanaia kwamba Yanga na Simba ndio vikwazo vya mpira wa Tanzania. Mnaloshindwa kubaini ni kwamba (a) hao waandishi mamboleo wameshabaini umuhimu wa timu hizo mbili kwenye mauzo yao, kiasi kwamba habari zao haziuzi bila ya kuzitaja timu hizo, lakini yanauza bila ya kuzitaja Mbeya City na Azam. Basi angalau wafanye hivyo kwa heshima kama wanavyofanya TBL (nashangaa hamjawalaumu kwa kutoanzisha Mtani Jembe ya Azam na Mbeya City!) (b) hata nyinyi mnaojifanya wapenzi wa Azam na Mbeya City, bado mnabaki kufananisha maendeleo ya timu zenu na timu hizi mbili mmazodhani mnazinanga (kumbe ndio mnazipandisha chati). Hamjiulizi kwa nini? Mbona sijawasikia hata mara moja kwamba mnataka Azam na Mbeya City ziwe kuliko Mtibwa, Kagera Sugar au JKT Ruvu? Hamjiulizi kwa nini, Mr. Positive et al?

azam haiwez kuhusishwa kwny mtani jembe coz wao pombe kwao ni haram! halaf kwanini unang'ang'ania kuilinganisha azam na mbeya city na simba na yanga ! utalinganisha vip timu zenye miaka zaid ya 70 na timu ambazo hazina hta miaka 10 ya uhai wake. km kweli akili yako ipo sawa ya kuweza kuchambua mambo utakubali kuwa hizi timu kukosa kwao mipango ndyo kumewafikisha hpo walipo. ni aibu kubwa kwa timu km yanga au simba kukosa hta uwanja wa mazoez na still unahubiri kwmba cyo tatizo lao, ndyo maana nilishawahi ku doubt km uko sawa kiakili
 
1. Nakubaliana nawe kwamba Azam kwao pombe ni haram, na ndio maana hawashiriki Ligi Kuu ambayo inadhaminiwa pia na TBL.
2. Nakubaliana nawe kwamba si sahihi kulinganisha Yanga/Simba dhidi ya Azam na Mbeya City, na ndio maana hata hizo timu zenye miaka sabini ulizozitaja si Yanga wala Simba, wala hukuzifananisha na Azam wala Mbeya City! Wala hizo zilizokosa viwanja miaka yote hiyo sio Yanga wala Simba, hujafananisha kabisa. Ninayefananisha ni mimi tu!
3. Na ndio maana ninapata faraja kwa mtu mwenye akili kubwa za kujua yote hayo, unapotilia mashaka akili zangu. Inshalla kwa akili zako zilizotukuka, iko siku utakuwa Rais wa Azam ama Mbeya City, na lazima kombe la klabu bingwa ya dunia lipatikane chini ya uongozi wako!
 
Back
Top Bottom