Kim jong-un apokea mpango wa kushambulia Guam

Kim jong-un apokea mpango wa kushambulia Guam

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
97b164f6e464902f01029fd9c66a4d06.jpg


Wamarekani wamekuwa wapole sana isivyo kawaida na wamesahau jinsi osama alivyo wapopoa.
Na saizi wanaemdela kufanya kosa la kuendelea kucheka na kim jong.
Na hajui huenda kim jong yupo siliasi na kitu anacho kifanya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona umetuchanganyia mafaili???

hata ivoo inaonekana north Korea wapo siriaz na ishu yakushambulia Guam, vikwazo inaonekana vimeanza kuwaingia wanaona kama mbwai na iwe mbwai tuu
 
Back
Top Bottom