Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza baada ya takribani wiki tatu kupita

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,504
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza baada ya takribani wiki tatu kupita, Kim ameonekana akiendesha mkutano wa kupanga mikakati ya kuingozea Nchi hiyo uwezo wake wa Kinyuklia .


Shirika la Habari Korea Kaskazini (KCNA), limeripoti kwamba agenda kuu ya mkutano huo ilikuwa ni kupanga mipango mipya ya kuongeza kasi ya kujilinda zaidi kwa kutengeneza silaha nzito za nyuklia na kuziongezea uwezo silaha nyingine mbalimbali za kivita ili kuendelea kujiimarisha zaidi.


Picha kutoja kwenye mkutano huo zinamuonesha Kim akiwa mbele ya washiriki wengine huku akiendelea kufafanua mambo mbalimbali.

source:KCNA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom