Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,057
- 18,406
Sasa mzazi akipewa hiyo adhabu Kali atamsaidiaje huyo mtoto? Labda kucharaza viboko wazazi Kila siku ambayo hatamhudumia mtoto!Pamoja na nia yako nzuri lakini ni vizuri serikali ikaweka mipango mizuri ya kulazimisha kila mzazi kumtunza mwanae kwa lazima na akishindwa apate adhabu kali. Sasa hivi kuna visa vingi sana vya watoto wadogo kuuliwa, kubakwa na kuteswa lakini waziri na wizara husika iko kimya kama hakuna kinachotokea. Ingetakiwa waanze na kumpumzisha waziri wa wizara husika na kuweka mwingine mwenye kujali na kuchukuwa hatua. Kwenye mitandao kila siku kuna kisa kipya na hivyo ni vichache sana.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app