wakuu naomba elimu kueleweshwa namna ya kusoma kilomiter,siamini kama gari imeenda kilomiter hizo kwani juzi kwenye screen ya gari y imesoma number 99754 lakini cha kushangaza baada ya 3 days tu ime read 28660 je kiutalamu hapa gari ishaenda kilomita ngapi? na hii gari ni ya abiria inafanya mizunguko hapa hapa mjini dodoma , inakwenda udom kilomiter 18 na kurudi 18 kwa siku inakwenda tripu 4 kwa 8 .je kwa kilomiter hizo kwa muda wa 3days kweli zinaweza kufika? kwani kila nikipiga hesabu haziji.na gari yangu siendeshi mimi nimewajiri mtu .je mnahisi dereva katoka nnje ya dom au mahesabu sawa sawa shukran.
Hiyo kubwa ndiyo real km gari imetembea, hizo nyingine jamaa alikuwa napima umbali from point A to B, hilo lipo kwenye dashboard ya gari,
Kupata real km soma ikiwa inasema ADO
Kuna wakati watu hureverse km lakini ikishatembea kilometres ikafikia zile waliporeverse inajumlisha na ilizotembea after reversed inakuwa nazo nyinyi hapo ujue waliliverse kabla ya kuuza sasa hizi za kushuka sielewi ngoja wataalamu wakuje wote tupate elimu.