Kilo 300 za dhahabu ya magendo ikisindikizwa na askari police 8, ushahidi wa wzi halafu JPM awasamehe, NEVER ni drama

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,398
73,990
Hii ni dramatized means of gaining cheap popularity or for whatever reason known to themselves. Haiwezekani kwa ushahidi wa wazi JPM akasema anajua kila kitu siku ile Ikulu na kumpongeza IGP, leo eti , kawasamehe. Ni mchezo wa kuigiza ambao maana yake wanaijua wao!
 
Unatengeneza Tatizo halafu unalitatua ndiyo maana halisi ya siasa za Tanzania
 
Huyu jamaa ni mnafiki sana. Wakati yeye anagomea audit ya CAG Assad katika trillions alizochota hazina kinyemela, huko magereza anataka wafanyiwe audit!!!!

Hii ni dramatized means of gaining cheap popularity or for whatever reason known to themselves. Haiwezekani kwa ushahidi wa wazi JPM akasema anajua kila kitu siku ile Ikulu na kumpongeza IGP, leo eti , kawasamehe. Ni mchezo wa kuigiza ambao maana yake wanaijua wao!
Kwani JPM ni DPP?........uwe unaelewa wewe!!
 
Huyu jamaa ni mnafiki sana. Wakati yeye anagomea audit ya CAG Assad katika trillions alizochota hazina kinyemela, huko magereza anataka wafanyiwe audit!!!!

Nchi hii inahitaji msaada wa Mungu tu!
 
basi sielewi nakiri lkn wenye akili tofauti na wewe/au mrngo wa haki wanaelewa thread hii! Kwanini alimpongeza IGP kwa kazi nzuri, leo anawasamehe! Naona imekuchoma, pole kama mzee JPM ni mjomba wako
Kufuta kesi siyo kusamehe na mamlaka ya kufuta kesi ni ya DPP kikatiba, usisahau hilo Mbowe atakucheka!
 
John naona leo umenijibu. JPM Alisema wafungwa kesi za mauaji zirudiwe upya. John umeanza kuwa na PhD aliyoisema Msiba somo wako? Hakussema remandees . Tafuta clip ..
 
Hii ni dramatized means of gaining cheap popularity or for whatever reason known to themselves. Haiwezekani kwa ushahidi wa wazi JPM akasema anajua kila kitu siku ile Ikulu na kumpongeza IGP, leo eti , kawasamehe. Ni mchezo wa kuigiza ambao maana yake wanaijua wao!
Ukiona hivyo ujue wale Polisi walikuwa mtego.

Sheria siyo sayansi ambapo duniani kote jibu ni moja, ukiiacha concentrated hydrogen peroxide wazi itavunjika vunjika taratibu sana na kutengeneza oxygen ila ukitumia catalyst aina ya manganese (IV) oxide au iron filings, utaharakisha reaction na oxygen itatengenezwa haraka zaidi.
 
Back
Top Bottom