Killing of Unarmed civilians?

Ndio maana ya msemo kwamba "Nchi haina dini, bali watu ndio wenye dini." Ukiruhusu udini ktk utawala unakaribisha vita ya milele.
 
Huyu atakuwa wa dini ile, anawatetea wa dini yake vinginevyo na ya hapa angeliyaona... asante sana
Mbona mnahalalisha vifo vya wenzenu au kwakua nao wanamuita mungu ALLAH. Hiyo ni lugha tu. Kuna Christian Palestinians and Muslims
 
Ni dini gani hiyo, ni ya kiyahudi!?
Watu wakisema Palestinians hudhani wamesema Muslims. Wakati pia kuna wa Palestinians wapakwa mafuta wa bwana. Sijui ni bwana gani huwa wanamaanisha, anayesema watu fulani ni wateule wa mungu hata wakiwaua nyie mshangilie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…