Huyu atakuwa wa dini ile, anawatetea wa dini yake vinginevyo na ya hapa angeliyaona... asante sana!
!
Mbona Hata Huku Yanatokea Na Wamekaa Kimya
Usilete ugomvi, ni dini ILE!Ni dini gani hiyo, ni ya kiyahudi!?
Tema mate chini ndugu yangu!!
!
Mbona Hata Huku Yanatokea Na Wamekaa Kimya
Mwenye Enzi Mungu, UHAI ndiyo utukufu wake!Ni dini gani hiyo, ni ya kiyahudi!?
Hamna mshindi walahi tena!MURA vita ni vita.unategemea nn kwnye vita?
Mlete Azory gwanda basiMwenye Enzi Mungu, UHAI ndiyo utukufu wake!
Dini ni nini? UHAI kwanza!
Jamaa anaitumia mbinu ya Daudi Leo, rudi nyumbani ukauguze mguuSi ajabu kuona mauaji yakiendelea mashariki ya Kati na jamii ya kimataifa ikiendelea kuwa kimyaView attachment 777789
Tema mate chini ndugu yangu!
Mola tuepushe
Mbona mnahalalisha vifo vya wenzenu au kwakua nao wanamuita mungu ALLAH. Hiyo ni lugha tu. Kuna Christian Palestinians and MuslimsHuyu atakuwa wa dini ile, anawatetea wa dini yake vinginevyo na ya hapa angeliyaona... asante sana
Watu wakisema Palestinians hudhani wamesema Muslims. Wakati pia kuna wa Palestinians wapakwa mafuta wa bwana. Sijui ni bwana gani huwa wanamaanisha, anayesema watu fulani ni wateule wa mungu hata wakiwaua nyie mshangilie.Ni dini gani hiyo, ni ya kiyahudi!?