Killi Music Awards


Teeenaaaaa!! Naionea huruma pochi yangu mwaka huu


 
Last edited by a moderator:
So bad Yamoto band wamepata nominations mbili tu japo wametamba sana mwaka huu.
Too bad kwa Rich Mavoko pamoja na kujitahidi sana ila sijaona akipata nominations hata 1! Wimbo wa pacha wangu na video yake vilistahili hata kupata tuzo moja!

Yaani huyu mavoko sijui ni kitu gani yaani baasi tu
 
mo music hayupo upcoming artist.... ni sawa?

Yaani hata mie nimeshangaa!! Hao walotajwa hapo hataaa siwajui ndio kwanzaaa nimewackia, i neva expected mo music kukosekana hapo aiseeee!!
 
Yaani hata mie nimeshangaa!! Hao walotajwa hapo hataaa siwajui ndio kwanzaaa nimewackia, i neva expected mo music kukosekana hapo aiseeee!!

Hiyo tuzo naona kaandaliwa Baraka Da Prince. Ila jamaa anajitahidi hata hivyo.
 
Young Killer
Mavoko
Shilole
Hivi hata best Naso nae si anaruhusiwa kushiriki?

"Nlikuwepo":bolt:
 

mkuu ulipendekeza jina?
wingi wa mapendekezo ya watu ndio umeamua iwe hivyo.
 
Kama namuona vile Diamond anavyonyakua tuzo sita
 
Kweli Mavoko wamemuonea kwani ni mkali na hajawai niangusha ila kwa upande wangu ni mshindi japokua hajatokea kwenye nomination
 
Mmmh ndio nani tena huyo? Hata cmjui kwakweli

Wimbo wake ulomtambulisha mwanzo wakati anajiita baraka unaitwa SIO FINE.Aliimba;

Ukaona sina thamani kwa penzi langu ukaniacha naliaaa,
na unyenyekevu niloonyesha,kubembelezwa ukakataa,
Sikufa moyo nikaona bora nikufate mumylabda utapokeaa,kwa aibu,Mipango yangu ikagomaa barabara matusi,mate ukaniteemaa
Nami kwa maombiii,nikafunga nikiomba ili mradi uwe wanguu,
Nilpobisha hodii,moyo ukaufunga na ukakana penzi languuu.

Baby so fineee,so fineee!!

Na kichupa kipya kinaitwa SIACHANI NAWE
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…