Kilio Mh Mbunge wetu Barabara ya Ardhi - Makongo ni kama twapita shambani!!

KITEKSORO

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
346
425
Mh. Mbunge wetu Halima Mdee, barabara ya Ardhi - Makongo ina hali mbaya kupita maelezo, yaani ni mashimo tupu, yaani ni kama mtu unakatisha shamba fulani lililokuwa la viazi!!

Mara kibao twasikia imetengewa hela kwenye budget ila haijengwi. Nahisi mwenye tender ya kuikarabati kwa kifusi mara kwa mara anafanya figisu figisu ili isijengwe kwa kiwango cha lami ili aendelee kula!!

Tusaidie wapiga kura wako, tatizo nini? Kwa nini haijengwi?
 
1465572158830.jpg
 
Back
Top Bottom