Ni kwamba wanafunzi hao ambao wamehitimu degree ya sheria na kujiunga na Law skul hawaelewi mambo yanavyoenda kuhusiana na mikopo. Wanadai wanaishi katika mazingira magumu sana yanayowafanya washindwe kumudu masomo yao kutokana na chuo hicho kutoa mkopo kwa nusu robo ya wanafunzi tu. Wanashindwa kuelewa inakuwaje wakiwa undergraduate wasomeshwe na Serikali halafu huku wasiqualify? Pia wapo waliokuwa induced na staff wa chuo hicho kwamba wasipoandika Private sponsered kwenye aplication form hawatapata nafasi. Hii inaonyesha kwamba kuna something fishy going on katika chuo hicho.......Moreover inasemekana secretary wa hiyo office huwabania wanafunzi kumuona mkuu wa chuo hicho...wanabaki njia panda kabisa......wanaJF tusaidiane katika hilo jamani......