Kilio kwa wanafunzi wa law school......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilio kwa wanafunzi wa law school.........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Majesty, Jul 1, 2010.

 1. M

  Majesty Member

  #1
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwamba wanafunzi hao ambao wamehitimu degree ya sheria na kujiunga na Law skul hawaelewi mambo yanavyoenda kuhusiana na mikopo. Wanadai wanaishi katika mazingira magumu sana yanayowafanya washindwe kumudu masomo yao kutokana na chuo hicho kutoa mkopo kwa nusu robo ya wanafunzi tu. Wanashindwa kuelewa inakuwaje wakiwa undergraduate wasomeshwe na Serikali halafu huku wasiqualify? Pia wapo waliokuwa induced na staff wa chuo hicho kwamba wasipoandika Private sponsered kwenye aplication form hawatapata nafasi. Hii inaonyesha kwamba kuna something fishy going on katika chuo hicho.......Moreover inasemekana secretary wa hiyo office huwabania wanafunzi kumuona mkuu wa chuo hicho...wanabaki njia panda kabisa......wanaJF tusaidiane katika hilo jamani......
   
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  sasa watu wataelewa masomo kweli kama wanasoma katika msongo wa matatizo kama huo, manake mtu badala ya kusikiliza mwalimu anafundisha nini unasumbuka na mawazo ya masumbufu ya maisha kichwani,...watu wakitoka na elimu duni tunaanza kushangaa. selikali yetu huwa haijali vitu vya muhimu, inaweza kutoa hata bilioni moja na nusu brazil ije, lakini kutoa hiyo kwa wanafunzi wasome waje wajenge taifa la kesho wao wakitoka madarakani, hilo wamesahau kabisa. hawa mutu ni mbofumbofu kweli, wamegonjwa kabisa.
   
 3. M

  Majesty Member

  #3
  Jul 3, 2010
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eti jamani....yani hii nchi cjui vp! na hiyo law skul walipewa msaada na World Bank kama sikosei, matokeo yake watu wanakula tu pesa zilizolengwa kwa wanafunzi...huu ni uchoyo first class..
   
Loading...