mkuu ungeeleza kirefu ungepata majibu ya uhakika ila haya tunakupa kwa hisia tu.
kama unachanganya na kukua kuwa makini maana kuku wakiwadonoa kichwani wanakufa
pia angalia chakula unachowapatia kama kinakiwango kizuri cha proteni,
bata hana magonjwa mengi kwahiyo swala la ugonjwa silipi sehemu kubwa