kalamu na karatasi
Member
- Jul 26, 2015
- 49
- 30
Wakuu habari zenu
Leo napenda kushiriki nanyi jambo hili. Mara nyingi niwapo na Wifi/ Shemeji yenu uwa napenda sana kumwona akilia na kutoa chozi kwa ajili yangu.
Muda mwingine namchokoza Mwenyewe tu. Basi dakika sifuri mchooziii huo.
Alafu anajua kubembeleza.
Hapo mimi raha hadi uvunguni mwa moyo.
Via ukipendwa pendeka