Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Mambo ya utamu unakuja, utamu unakata ndo haya unayaleta mkuu.
Dondosha paragraph hizo mkuu.
 
Mhhh mkuu The bold tunapataje sehemu ya tatu... Aisee nmekukubali
Ila kuna sehemu anapotosha either kwa kutokujua au makusudi kwa faida ya waliomtuma..... Huwezi kusema miili kwenye mto kagera ilikuwa eti pua za kitutsi yaani mauaji ni upande mmoja tu?? Je hao RPF wa kagame na rwigyema wakisaidiwa na jeshi la uganda hawakuua mtu vita nzima???

Haya mauaji yaliua wahutu wengi kuliko watutsi ila sielewi kwanni the bold na utafiti wake wote anapotosha eneo hili muhimu
 
Hebu andaaa Uzi wako ili usipotoshe ww
 
Watusi na waganda ni watu wanaotokea Ethiopia.Hata katika hadithi zao za kihistoria (folktales).

Huwa wanasema wametokea kaskazini walivuka mto. (Ambao ni Nile).

Na hao wote Ethiopians wametokea middle east huko Babeli.Proud to be black

Historia ya mzungu ni very complicated.

Asante sana The bold
Pre-colonial history ya Rwanda si tofauti Sana na maeneo mengine ya Maziwa Makuu, ukiwemo Mkoa wa Kagera wa sasa, Mkoa wa Kigoma, sehemu kubwa ya Magharibi mwa Uganda, mpaka mashariki mwa DRC. Pote kulimuwa na mfumo wa Kibwenyenye (feudalism) ambapo tabaka moja dogo lilimiliki nguzo za uchumu kama ardhi, mifugo na utawala na tabaka kubwa walikuwa kama wajakazi wao. Mkoani Kagera huu mfumo uliitwa Nyarubanja. Hili tabaka la watawala katika eneo lote la Maziwa Makuu lina chimbuko moja. Hata kwa muonekano ni kama Watusi. Hapa kwetu Tz Mwl. Nyerere alilipunguza nguvu kwa kuifanya ardhi kuwa mali ya umma na kuvunja tawala za kijadi. Hata mfumo wa Kikoloni haukuwapendelea Sana kama ulivyofanya Rwanda. Nadhani hata udogo wa Rwanda kieneo ukichochea tatizo la kitabaka.

Si kweli kuwa Wahutu na Watusi wana asili moja. Wanaongea lugha moja kwa sababu baada ya miaka mingi watawala waliacha (kwa makusudi au vinginevyo) kuzungumza lugha yao ya asili na kuzungumza zile za waliowatawala. Inawezekana kwa nia ya kurahisisha mawasiliano. Zipo simulizi za zamani zinazoeleza jinsi wahamiaji walivyopora madaraka kutoka kwa makabila waliyoyakuta kwa kutumia nguvu za kiuchumi hasa mifugo.
 
Ila kuna sehemu anapotosha either kwa kutokujua au makusudi kwa faida ya waliomtuma..... Huwezi kusema miili kwenye mto kagera ilikuwa eti pua za kitutsi yaani mauaji ni upande mmoja tu?? Je hao RPF wa kagame na rwigyema wakisaidiwa na jeshi la uganda hawakuua mtu vita nzima???

Haya mauaji yaliua wahutu wengi kuliko watutsi ila sielewi kwanni the bold na utafiti wake wote anapotosha eneo hili muhimu

Kwanini usiandike uzi wako au ulikua wapo kuandika uzi wako unakuja hapa na kelele za Bata asubui andika wa kwako af uwe na memba wengi kama The bold mana The bold humu anajua mpaka anakeraaaaaa
 
Hebu andaaa Uzi wako ili usipotoshe ww
Katafiti acha kulishwa uongo umeshaskia watutsi walikua 15% ya nchi nzima hyo ni kutokana na the bold mwenyewe na statistics zinasema walikufa almost watu million 1 sasa wwe jiulize toka lini 15% ya population ya watu million isiozidi 5 ikawa million 1??? Embu anzeni kujitambua mtaburuzwa mpaka lini afu mnasifia tu uzi mtu anapotosha watu wazima mna elimu zenu hta hilo dogo mnashindwa kumuhoji kivp 1 million ni 15% ya watu 5 million
 
Kwanini usiandike uzi wako au ulikua wapo kuandika uzi wako unakuja hapa na kelele za Bata asubui andika wa kwako af uwe na memba wengi kama The bold mana The bold humu anajua mpaka anakeraaaaaa
Hamna kaandika vitu vingi vya ukweli ikiwemo watutsi kuwatesa wahutu kana kwamba ni wanyama ila kuhusu mto kagera kapotosha yaani pua zote za kitutsi pia vifo laki 9 eti anaita tutsi genocide ina maana aliposema 15% walikuwa watutsi alafu anatuaminisha miili ilikuwa ya watutsi hivi nikuulize ww uliemuelewa ina maana 15% ya rwanda population ya 1994 almost 5 million ni 1 million??? Na kma walikufa watutsi million 1 je sasa hivi wanaposema rwanda ina tutsis 14% walitokea wapi??? Ina maana watutsi walikuwa above 1 million???

Anyway huenda sijaelewa nieleweshe 15% ya 5 million ni ngapi = eti million 1 duh!!!! Nijibuni sio kejeli
 
Mara Pua mara Kuwatesa kama wanyama shida ako unaandika kwa Hisia ebu tulia kwanza wek tako chini uandike ueleweke unaonekana una moto kiasi poa kwanza ndugu Zito hapa sio Kigoma kwa wala kahawa.tulia hivo hivo Lete uzi wako wenye fact
 
Hahhahahaa mrembo jestkilla upo!! Nisaidie basi 15% ya 5 million??? Pia kma kweli hao 1 million waliokufa walikuwa watutsi je hawa watutsi wa sasa huko Rwanda ambao kuenda na sensa wapo 1 million walitoka wapi??? Au mean walizaliwa watutsi wapya wakafika 1 million tena yaani mmekua times 2 within 20 years huku wahutu wameongezeka 20% pekee!!! Duh maths is hard nisaidie mrembo wangu
 
Back
Top Bottom