Eleweni, SSH kaendelea na kesi dhidi yangu.
Kapeleka application ya kuomba muda wa kupeleka rufaa ili kuchukuwa leseni yangu MILELE. Anataka nisiingia Mahakamani Milele!
Sijamtetea kwa sababu nataka LESENI. Hatonipa MILELE!
Wee kapuku unawezaje kumwambia Fatuma apambane na hali yake? Fatuma angechagua kuimba mapambio ya kusifu angekuwa waziri au balozi. Unawezaje kujiringanisha na mjukuu wa Rais lakini pia Mtoto wa Rais? Unadhani familia ya Samia au Mwinyi hata kama wanaondoka madarakani kuna hali yoyote wanapambana nayo kama wewe no....
Of-course nakubaliana na wewe lakini bado huwezi ukasema anapambana na hali yake. Watawala wa TZ kuanzia marais na mawaziri, ukiacha utawala wa Nyerere wote familia zao mpaka wajukuu hawana shida. Hujaona mtoto wa Mwigulu ambaya hata bado hajajua ni nini maana ya uongozi na kipato anaenda kutoa zawadi za smart phone kwa akina baba wenye familia zao na anapigiwa makofi.